Hiyo stage unayosema imerukwa kama uliifanya ipasavyo ndio inayoacha makovu yanayofanya ndoa ziwe na vurugu, yaani upitie ujana wa wanawake ipasavyo then usiwe na watoto? Au unywe pombe ujanani ipasavyo lazima itakuachia makovu labda uwe unajaribi
Nilichomaanisha kwani hizi Sheria zilizopo sio kama zilishuka Toka mbinguni Bali zilitungwa hivyo tunaweza jitungia TU Sheria mpya kwamba " rais atamteua mtu yoyote kuwa waziri na automatically ataapishwa na spika kuwa mbunge habari itakuwa imesisha hiyo
Kwani hili la rais kuteua wabunge kumi si...
Duh, Sasa hapo si maamuzi TU ya kubadili Sheria kuwa " mtu akishateuliwa kuwa waziri basi anaruhisiwa kuingia kungeni" kwani wale wanaoteuliwa na rahisi inakuwaje
Mkeo SI ndugu yako, narudia mkeo si ndugu Yako, kama hujawahi kupata tatizo la kukufanya ujisaidie ukiwa umelala Kwa zaidi ya miezi minne usimalize kusema,
Waache na unafiki wao ila nakuhakikishia wakati mkeo atakuwa busy kuficha hati za nyumba na kadi za magari wanafiki watakuwa bize na mavi...
Unaweza ukawa na vifaa vizuri ila ukashindwa kulipia supporting bills,
Mfano Ili urushe hayo matangazo transponder Moja kukodi Kwa wamiliki wa satellite yenye uwezo wa kurusha matangazo Kwa njia ya full hd, 4k gharama yake inaweza kuzidi gharama ya vifaa vyako na studio Kwa ujumla, hivyo wengi...
Nilichogundua maisha huwa matamu pale unapopambana ili utimize jambo Fulani ila ukishapata Kila kitu baada ya muda huwa hamna furaha kwani Kila unachikitaka unakifanya bila jasho na akili hivyo halikupi attention uliokusudia, hii changamoto hata Mimi napitia
Kampuni ya uhakika haijalishi umenunua mwenyewe au la watakupa bidhaa nzuri TU kwani wao ndio wanatakiwa wawahakikishie bidhaa Bora wateja wao nje ya hapo hiyo kampuni ni janja janja imebaki kuuzia jina
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.