Recent content by CCMkuelekeaUchaguzi

  1. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli(Mlowa): Ubunge sio 'madigrii' ni kipaji kutoka kwa Mungu; mkichagua Wapinzani nitashindwa kuwatumbua wasipofanya kazi

    Katika kipindi cha miaka 5 tumefanya mengi, hata kuhamishia Makao Makuu Dodoma halikuwa jambo dogo. Miaka 47 haijawezekana ila miaka 5 tumeweza. Makao Makuu yanamaanisha ustawi wa eneo hili unakuja kwa nguvu. Tunajenga Uwanja wa Ndege mkubwa huko Msalato ili ndege za kimataifa zije. Tumeleta...
  2. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lowassa: Huko kina Lissu wameanza kujipambanua kwa sera, fujofujo mpaka matv mengine yanatisha. Rais wetu usitishike

    Waziri mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwa Monduli kwenye kikao cha chama cha mapinduzi ambapo mwanae Fred Lowassa anawania jimbo hilo, alipata fursa ya kuongea na kumuelezea Dkt. Magufuli aliyoyafanya katika vita dhidi ya Korona. Pia kwenye kikao hicho alikuwepo Mizengo Pinda. Lowassa: Mimi...
  3. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Tumeboresha miundombinu, tumejenga barabara na kuweka taa. Tabora sasa kama Toronto

    Umati wa watu uliofurika kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni ya CCM mkoani Tabora leo tarehe 21 Septemba 2020 Baada ya kuwasili na kukaribishwa, awasifia wana Tabora kwa ushiriki wao katika kutafuta uhuru. Amesifia Tabora ya leo kwa kuwa na nyumba nzuri nzuri...
  4. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli akiwa Nsimbo, Kidahwe akielekea Kazuramimba, Kigoma kwa ajili ya mkutano wa kampeni

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nsimbo (hawaonekani pichani) wakati akielekea Uvinza mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020. Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe...
  5. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kaliua, Tabora: Dkt. Magufuli aeleza sababu za Kapuya "kukatwa" na Kamati kuu ya CCM, asema amechoka amuachie kijana. Kaliua inahitaji spidi mpya

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, John Magufuli ameweka bayana sababu za aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu, Juma Kapuya kukatwa na Kamati Kuu ya CCM ingawa aliongoza kwenye kura za maoni za ndani ya chama na badala yake akapewa nafasi ndugu Aloyce Kwezi. "Kwenye mchakato...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Dkt. Magufuli akiwa kwenye kampeni Kibondo, Kigoma

    Rais Magufuli akiongea na wananchi mjini Kibondo wakati anaingia mkoa wa Kigoma kufanya kampeni leo Alhamisi Septemba17, 2020.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    Sidhani nna haja ya kuongea sana ukweli tayari umeanza kuonekana, Pemba ni ya Mwinyi 👌
  8. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais ni taasisi na cheo cha hadhi kubwa sana, hatuwezi kukigawa kwa huruma wala kwa muongo

    Hili swala watanzania tushalishtukia... lissu anatumika sana na mabeberu ... mtanzania anaeelewa vizuri hili swala ataelewa tu ... hatuwezi kumpa mtu nchi kwa ajili ya any sympathy.... tunaweka masilahi ya nchi mbele kwanza ...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    “Kumekuwa na ongezeko la mapato kwa Wachimbaji wakubwa. Mwaka 2016 waliuza dhahabu kilo 17,587.15 yenye thamani ya Dola za Marekani Mil 607.3 sawa na shilingi tilioni 1.4, Serikali ilipata Mrabaha wa thamani ya Dola za Kimarekani Mil 23.4 sawa na shilingi bilioni 53.81. Hadi mwezi Mei, Mwaka...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    ila twende mbele turudi nyuma; ile video mmh sijui hata nisemaje' yule mchungaji kawezaje kupata ujasiri wa namna ile? je mpaka pale first lady kama yule anafa?? "......................" tutafakar #hapakazitu
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    ila twende mbele turudi nyuma; ile video mmh sijui hata nisemaje' yule mchungaji kawezaje kupata ujasiri wa namna ile? je mpaka pale first lady kama yule anafa?? "......................" tutafakar #hapakazitu
  12. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa na UKAWA wamesahau kuwa SIASA NI SAYANSI

    kushinda kwao itabaki kua ndoto isiotimia, milele, wanahitaji kujipanga upya, ccm inamiziz yake ya muda mrefu ya kudumu, wametengeneza chama chao mwisho wa siku wamekibomoa wenyewe bila kujua nini wanafanya.......nilikua nafikiria baadae chadema watakuja kuwa chama pinzani chenye ngufu, lakini...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Magufuli anafaa kuwa rais wetu

    anafaa, anaweza, mchapa kazi, muadilifu, mfwatiliaji na mtelekezaji, tunasubiri kuapishwa oktoba
  14. C

    JamiiForums Tanzania Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

    hivi wakati mamvi anaenda tandale alikua anafanya nini?? kama sio maigizo??
  15. C

    JamiiForums Tanzania Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

    unajua wakiwa ni wapumbavu saana, yani mkapa hakukosea kuwaita ivyo! hivi mnawezaje mfananisha magufuli, na huyo mamvi, hivi wakati anazunguka tandale alifanya sawa?? au mmeona hili tu la kupiga push up???
Back
Top Bottom