Recent content by Ccc

  1. Ccc

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Diogo Jota, mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Ureno, amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia Julai 3, 2025, huko Zamora, Hispania. Katika ajali hiyo, ndugu yake André Jota pia alipoteza maisha. Ajali hiyo ilitokea kwenye barabara ya A-52 karibu na mji wa...
  2. Ccc

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    So sad
  3. Ccc

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

    Hakuna ulichochambua apo
  4. Ccc

    JamiiForums Tanzania Umaskini tu ndio unaotusumbua; Hakuna ubaya kwa wachina kufanya shughuli za umachinga Kariakoo

    Acha kejeli hoja ijibiwe kwa hoja
  5. Ccc

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa bure kwa viongozi wa Simba kama kweli mko serious na mnataka ubingwa msimu huu?

    Uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo sana. Bora ungekaa kimya
  6. Ccc

    JamiiForums Tanzania I am depressed. Naombeni ushauri

    Kaka kwenye ndoa kipato Cha mwanaume ndio kipato cha familia
  7. Ccc

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hii Kumbuka pia hii ni nusu fainali na ni mda mrefu hajanyanyua kombe
  8. Ccc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Huo mstari wa mwisho nimecheka sana
  9. Ccc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alikuwa wapi siku zote?

    Bado hauja move on wewe
  10. Ccc

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Kuishi Sinza kunaweza kukuharibia maisha

    Toka wee
  11. Ccc

    JamiiForums Tanzania Nyie kuna uhuni nimewanyia 1xbet sasa najuta naomba msaada

    Wamekushika pabaya fanya kama wanavyotaka, hamna shortcut apo Otherwise andika maumivu kwenye hela yako
  12. Ccc

    JamiiForums Tanzania Nyie kuna uhuni nimewanyia 1xbet sasa najuta naomba msaada

    Dah upo sahihi. nime Google nikajionea
  13. Ccc

    JamiiForums Tanzania Nyie kuna uhuni nimewanyia 1xbet sasa najuta naomba msaada

    Kwani arbitrage ni kosa??
  14. Ccc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Ndio chanzo cha Hill jina?
  15. Ccc

    JamiiForums Tanzania Nimemuacha baada ya kutaka kumuua paka mwenye mimba!

    Maudhi kama hayo ni suala la kawaida tu linapokuja ishu ya kuishi wawili
Back
Top Bottom