Recent content by cblhbn

  1. cblhbn

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli tozo wanazotozwa wananchi zinatumika kulipa mikopo wanayochukua Zanzibar?

    Muwe mnasoma na kuelewa Kwanza, anaongelea mgawanyo wa mikopo na uwiano katika kulipa hayo madeni
  2. cblhbn

    JamiiForums Tanzania Hebu jaribu kuwatia Moyo watu hawa

    Shida ya mwanamke anaeongoza Ni kwamba anahusudu sana rushwa na ufisadi Hadi inampelekea upofu, Hadi wanainchi wanaona Kama inchi inaendeshwa na Yakuza mob
  3. cblhbn

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Kati ya maneno yako Kuna uhalisia,Ila hasira zako hazina nafasi
  4. cblhbn

    JamiiForums Tanzania January Makamba mnyonge mnyongene, haki yake mpeni

    Sawa lakini kaa ukijua, Ujinga auna umri
  5. cblhbn

    JamiiForums Tanzania Yona atoswe baharini ili merikebu isizame

    Walitosa mfanyabiashara, sasa yupo Yona original
  6. cblhbn

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Kikwete aliwaombea Jairo na January Makamba mafunzo US

    Kati ya watu walioitafuna hii inchi, na wanaoitafuna Ni huyu mzee na uzao wake
  7. cblhbn

    JamiiForums Tanzania Anaejua Prof. Lipumba wa CUF anafuataga nini Ikulu atuambie. Kila awamu lazima aende Ikulu

    Wakuu wa vyama vingine na mashirika mbalimbali wanaenda kwanini yeye asiende, shida yako umejawa na chuki isiyo na faida
  8. cblhbn

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye tatizo katika nchi ya Tanzania na sio Ngeleja, Mkulo wala Maige

    Jakaya alikuwa mchwa, haswa
  9. cblhbn

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa kufeli kiuchumi Serikali ya awamu ya sita

    Shida iliyopo, Ni kwamba Kuna rais jina Ila nchi inaongozwa na kikundi Cha watu
  10. cblhbn

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue wafanyabiashara wakubwa wa mafuta nchini

    Waswahili husema, "nia njema hailogwi" serikali inakosa dhamira njema katika kushughulikia ustawi na usawa nchini, kwa ufupi serikali imewekwa mfukoni na wagiriki wachache
  11. cblhbn

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Usiwe ignorant hivyo ndugu, hata makamu mwenyekiti Jana alituhusia, tukisema tuseme kwa staha, nimetoa maoni yangu, Katiba inaniruhusu ndugu, kwani wewe Ni nani kwenye taasisi ya presidency?
  12. cblhbn

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kumekuwa na mkakati mkumbwa wa kuaminisha watu kuhusu mwenendo wa siasa zetu, na kwa bahati mbaya sana chama kilichopo madarakani, chama cha mapinduzi kumekuwa kikipambana chenyewe dhidi ya kivuli chake, yaani kila awamu inaisema awamu iliyopita. Ilitokea kwa Kikwete alivyoachiwa na Mkapa...
  13. cblhbn

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Inasikitisha sana, bado miaka mitatu na nusu
  14. cblhbn

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Kanisa Katoliki kukosa uwakilishi Mkutano wa Rais Samia na Viongozi wa dini?

    Labda walikuwa kwenye misa ya kuanza na mfungo wa kwaresima, na kupaka majivu
  15. cblhbn

    JamiiForums Tanzania Wabunge tuache kufananisha awamu ya Tano na ya Sita, tunakosea sana

    Kwani uwongo awamu zilizopita zilikaribia kuuza nchi, na ya sasa wanamalizia kabisa
Back
Top Bottom