Bila shaka MUM haipo kwa ajili ya kufurahisha matamanio ya kila mtu,wanaokichukia ni wengi na wa kila aina hivo mtaandika hapa vile mnaweza adi vidole vitoke damu lakini hakuna mwenye kukizuia kutekeleza sheria zake ilizoziweka. MUM itaendelea kuwepo hadi pale ALLAH akishushe kwa matakwa yake...
Ni sawa umchukue mtoto wa std 1 umfundishe calculus ni ngumu kukuelewa ivo awa tumewazoea haina haja ya kutumia nguvu wataelewa cku ya hisab Allah ni nani
Lengo la huo mzigo uende mtwara na mm nko moro ivo naangalia uwezekano either nisubir adi ntapoenda mwenyewe ndo niunganishe nao ivo bado cjafanya maamuzi kip nifanye ndo maana unona kama nasita. Hivo nkijua kip nifanye ntakucheki ela yako ipo tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.