Ewe mgalatia usiye na akili ni nani aliyekuroga?Mou huandikwa na went elimu, ndo mliandikiwa mou mkapewa chuo bure- shame upon you, Sasa mnajishaua kuwa mnajua kutunza maadili. Subirini kidogo mtaongezewa chuo kingine, si unaona Sasa hivi mwajengewa ofisi ya bakwata!!