Recent content by CAY

  1. C

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli haswa kuhusu Makonda, tuache upotoshaji

    Wewe una ukweli wako na sisi tunao ukweli wetu.Cha msingi akubali tu matokeo
  2. C

    JamiiForums Tanzania Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

    Hana lolote.Njaa tu yeye na hao anaowaongoza.Bado kumtoa nyaa mkulu. Wkt wa bunge la katiba alituonyesha ni mtu tofauti lkn picha yake halisi ni hii ya Sasa.
  3. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

    Acha atangazwe kwa ushindi mwembamba ili hata anapoongea ajue kabisa hatumfagilii Wala nini
  4. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

    Sitampa kwa sababu kuu 2. 1.Anaminya demokrasia 2.Ameua Uhuru wa vyombo vya hbr
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wanasiasa wanaotuaminisha korona bado ipo Dar?

    Mwenye masikio na asikie,mtu na familia yake Basi.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla aitaka TCRA iufungie mtandao wa Twitter kwani kuna mambo machafu yanayoendelea huko

    Ndo ashaitia hivyo......Na wenyewe washasema pale ni jalalani....
  7. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli atakavyowageuka CCM, Ndugai hatarudi, nawaambia mnielewe!

    Kama Ndugai harudi,utakuwa uamuzi wa busara mno kuwahi kufanyika.
  8. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hii ndiyo siri wabunge wa CCM kumsifu Rais Magufuli

    Wewe pia ni msaka tonge!Njaa mbaya Sana,unaweza kuuza utu wako kwa mambo yasiyo na maana na kutoa sifa za kijinga ili uendelee kula.
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake 'single mothers' msikubali kujitwisha mzigo wa malezi wenyewe hata kama mnajiweza

    Ni kweli,wanawake msiwe na dharau hata kama una kipato kumzidi mwanaume.Leeni kwa ushirikiano hata a kama kuna tofauti kati yenu. Ingawa siku hizi kuna akina single mothers in marriage wengi kuliko inavyodhaniwa.Mwanaume hajigusi.Unakuta mama anahangaika na biashara ndogo ndogo ,upatu,vikoba...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Masomo ya Certified Fraud Examiner

    Naomba na mimi namba ya coordinator wa haya masomo .Nataka nijiupgrade
  11. C

    JamiiForums Tanzania Pendezesha chumba

    Na je kam anataka mapazia tu??Unapatinaka wapi??
  12. C

    JamiiForums Tanzania Vipele kwa mtoto

    Nipo mkoa wenye baridi ingawa.Kutompaka kabisa mafuta ngozi itababuka.Ngoja nijipange kumwona daktari ingawa kwa wilayani huku kumpata daktari wa watoto ni changamoto kiasi.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Vipele kwa mtoto

    Aisee na mimi nitanufaika na jibu la swali lako.Mimi pia mtoto wangu katokewa vipele kama hivyo tangu ana mwezi mmoja.Nimejaribu lubadilisha sabuni na mafuta(kutoka kodrai na mafuta ya nazi kwenda deto junior na olive oil) lakini bado vinaendelea.Ni usoni na nyuma ya kichwa.Lakini havimuwashi.
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Hii ni product ya forever living au inapatikana kwenye maduka ya madawa?Nina mtoto wa miezi miwili na nusu,nataka nikianza kazi niwe nakamua maziwa ya kunywa nikiwa sipo.Na mimi sina maziwa mengi.Hii inaweza kunisaidia.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Zitto akirudi bungeni Oktoba, nitatembea kutoka Kibaha hadi Posta

    Dua la kuku........
Back
Top Bottom