Recent content by cavee_louie

  1. C

    JamiiForums Tanzania Akiwa amepata daraja la nne la alama 32 anaweza kusoma chuo?

    Wanasemaga hii paper ni ngumu ila sijawai iona naisikiaga tu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    JamiiForums Tanzania Akiwa amepata daraja la nne la alama 32 anaweza kusoma chuo?

    Hiki kitu atuwezi kukiapply tz coz ni kigumu kwaio diploma aina kazi tena na sio qualifications ya kwenda bachelor na wale wanaopitia bodi za kitaaluma nao pia awaendi masters coz awana bachelor au Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    JamiiForums Tanzania Akiwa amepata daraja la nne la alama 32 anaweza kusoma chuo?

    Tena ni waongo sana wanajua kabisa uwezi chomoka ila wanawashauri vijana Ni bora mwenye d 4 aende certificate march in take atakuja kusoma na wenzake degree Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    JamiiForums Tanzania Akiwa amepata daraja la nne la alama 32 anaweza kusoma chuo?

    D 4 kwa certificate yoyote tz ila wanaosema D 1 au 2 wanakushauri unasoma certificate huku una risit na mara nyingi wanashindwa kutoka na ada zao zimepotea na kwa sasa kama una D 4 form 4 wewe kalime au kalisit akuna namna Sent using Jamii Forums mobile app
  5. C

    JamiiForums Tanzania Open University warejesha foundation program

    Wewe inawezekanaje uwe na F 6 alafu C moja udahiliwe kuchukua certificate hadi diploma na umepata GPA ya 3.4 au umekosea typing maana lazima uwe na credit 3 au kwa sasa 4
  6. C

    JamiiForums Tanzania Form six kuanza mtihani wa taifa tar 7 mei

    Mbezi beach high school and midland high school mwenyezi mungu awatangulie ili tarehe 15 /7 tokeo lije zuri
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini asilimia kubwa ya watu wanaorudia mtihani wa kidato cha nne na sita huishia kufeli?

    Wanapoenda kurudia awana msukumo wa ndani uliowafanya wakarudie ndomana wengi wanafeli awajui lengo la kurudia
  8. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya mbinu za kutumia kwa mtu anayesoma PCB A-level

    Je PGM ndo msuli bahari matokeo ndoo ya maji
  9. C

    JamiiForums Tanzania March intake 2016 certificate kuingia bachelor ni ndoto 2018/2019

    Ipo ile ya March intake awapumziki wanaonganisha Mwezi wa kumi kuanza diploma
  10. C

    JamiiForums Tanzania March intake 2016 certificate kuingia bachelor ni ndoto 2018/2019

    Nimewaelewa wadau wote mliotoa mawazo yenu. Maana huku wanafunzi wanasoma kwa hofu wanamaliza diploma 2 next month alafu tetezi zinasema awaingii sababu wanatakiwa wasome 3 yrs wao wamesoma 3 yrs ila tutasubili wakat wa udahili Mwezi July inakuwaje iyo inshu.
  11. C

    JamiiForums Tanzania March intake 2016 certificate kuingia bachelor ni ndoto 2018/2019

    Habari wadau. Naomba niulize kuna taarifa zinazagaa vyuoni. Kwa wale waliomaliza form 4 mwaka 2015 na kujiunga na March intake 2016 hawataruhusiwa kuingia bachelor mwaka 2018/2019 .Naomba majibu kwa anaejua
  12. C

    JamiiForums Tanzania Carol Ndosi: Dear International Community, Don’t come to us later and say “Had we known, we would have done more”

    Dada umeongea hadi Mwili umesisimka nimepitia kila mstari kweli tunatakiwa tuamue nini taifa kinataka Mr President aamue atume chombo maalum kwa kufatilia aya yanayotokea ili tuzidi kuwa na imani na serikali yake
  13. C

    JamiiForums Tanzania ATEC ni nini? Na inatofautiana vipi na CPA ?

    Chet ni ate 2 na cpa yani final stage
  14. C

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kupata GPA 5.0 chuo?

    GPA 5 wewe ni John Kisamo Sana Ila First Class kuipata kawaida ata ya 4.6 japo nazo ni ngumu uwe ume make opportunity cost sana mostly social activities
Back
Top Bottom