Form six kuanza mtihani wa taifa tar 7 mei

Form six kuanza mtihani wa taifa tar 7 mei

Wanafunzi wa form 6 wanatarajia kuanza mitihani yao ya taifa kuanzia juma tatu.Mungu awasaidie wapate kufanya vizuri
Vijana wangu wa Sengerema Boys msituangushe
Tabora boys kama kawaida yetu msituangushe [HASHTAG]#The[/HASHTAG] head of Tanzania
 
Mbezi beach high school and midland high school mwenyezi mungu awatangulie ili tarehe 15 /7 tokeo lije zuri
 
Daaah mkuu kitambo Sana, ndani ya karume mbili, route za down kusoma magazeti kwa sanaaaaa
Ha Ha Ha! Nilikuwa Mkwawa 04.
Magazeti Sikosagi Kusoma Pale Chuo, Late Movies, Kilima Hewa, Changarawe.etc
So We Had A Story To Tell.
 
Mbezi high School, muwe vichwa wote!! Mungu awafanye kuwa juu.
 
Tuwaombee wadogo zetu, nimesikia redioni leo huko Bukoba Kuna mwanafunzi kidato cha 6 amejinyonga alfajiri ya leo kabla ya mtihani na aliamka kabsa kujisomea na wenzie mpk saa 10 wenzie wakamwacha darasani anaendelea, so sad aisee, sijui ni hofu ya mtihani [emoji22]
 
Back
Top Bottom