Hiyo route kuna ;
1.Super Feo, ana gari za Kichina, Yutong na Higer. Ziko vizuri...kwenye Higer unachaji na simu yako kabisa.
2. Newforce naye anagari nzuri za kichina....Zhonghtong bus.
3. Ilyana.....huyu naye anagari nzuri za kichina. Ni Higer.
zote ni nzuri. Uchaguzi ni wako.
Uko sawa kabisa...Pasaka(passover) iliyoamriwa na Mungu kushikwa ilifanyika siku ya 14 ya mwezi wa kwanza wa Kibiblia. Na imeelezewa vizuri katika Vitabu vya Kutoka 12 na Mambo ya Walawi 23:5
Siku ambayo Yesu alisulubiwa ilikuwa ni sikukuu hii ya Pasaka(passover)...Lakini kabla ya hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.