Recent content by Catrinah

  1. C

    Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

    Arudi aje kufanya nini kwenye chama ambacho hakifahamiki. Mtamwitaje mtu fisadi wakati huo huo mnammezea mate? Ndio maana wananchi walishindwa kuwaamini. Leo mnawaita watu mafisadi kesho mnawakaribisha kwenye chama chenu kama na nyie sio mafisadi ni nini.
  2. C

    Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

    UKWAWA ndio nini tena mkuu. Hebu tufaamishe kidogo.
  3. C

    Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

    Upinzani aliondoka nao Dr. Slaa na Mushumbusi wake CDM imebaki jina tu.
  4. C

    Natafuta Mke, preferred is a nurse or teacher

    Unataka mwalimu au nesi; Je, unataka kuanzisha shule au dispensary?
  5. C

    Huyu ni mama yako, huu ndio wakati wa kumhudumia

    Sasa mbona unaanzisha thread halafu unakuwa wa kwanza kuchangia? Kwa nini huo mchango wako usingeunganisha kwenye thread?
  6. C

    Natafuta mchumba wa kuwa naye serious nimechoka kuwa na mume wa mtu naitaji wangu

    Haya wenye kazi zenu changamkieni fursa hiyo.
  7. C

    Natafuta mchumba wa kuwa naye serious nimechoka kuwa na mume wa mtu naitaji wangu

    Hivi ni kweli una degree au umetudanganya? Kazi ipo.
  8. C

    Natafuta mchumba wa kuwa naye serious nimechoka kuwa na mume wa mtu naitaji wangu

    Kama unataka mfanyakazi ni kwa nini usiolewe na hiyo kazi kabisa kuliko kuendelea kuzura huku mitandaoni.
  9. C

    Wanaume waliotitia chini (wafupi) pita hivi

    Nawatetea hao wakaka kwa sababu kwa nini uzingue halafu usitegemee ugomvi? Wewe ni aina fulani ya wale wanawake wanaopenda kuwa juu ya mwanaume kila kitu unataka uamue wewe ndani ya nyumba. SWALI: Katika ndoa zote au mahusiano yote yenye migogoro; Je; zinahusisha wakaka wafupi tu????
  10. C

    Natafuta girl mbongo aliyeko mamtoni

    Kuna girl mmoja mkali alishawahi kukaa mabaharini nikuunganishe nae?
  11. C

    Mke wangu ananiumiza kichwa

    Sasa ulimfungulia facebook ya nini. Kama alikuwa haijui facebook ungemwambia asijiunge huko kwani kuna mashetani. Pole.
  12. C

    Sababu 6 kwanini huolewi

    Usisahau kuwauliza hao kina kaka ni kwa nini hawatuowi.
  13. C

    Sababu 6 kwanini huolewi

    Dr. Mzizi Mkavu naona umerudi kwa kasi.
Back
Top Bottom