Wakuu hebu kuwen makin na hizi ishu bora ufike ofisin wakuunge wao nishapigwa 40000 kwenye hiz mambo na member wa humuhumu no trust any one inauma ila ni funzo bora upatiwe huduma kwanza ndipo ulipie.
YouTube go imetengenezwa kwaajili ya simu zenye ram ndogo mfano 1gb na siyo mahususi kwa simu za Tecno na infinix YouTube ya kawaida ukiwa na ram ndogo simu inakuwa nzito na kujaa mapema
Yaan ukiongelea kuhusu ukimwi presha inaanza kupanda sikua naogopa kupima ila baada ya kuchepuka akili yangu haipo sawa kwa sasa dadeki nanikipima nikaona fresh sitaki tena michepuko
Hujajua tu mkuu matatizo ya hiyo simu na kuhusu majina mimi huwa narestart ndio yanarudi coz ni mambo madogo kwangu ila sikupenda usumbufu ndio maana nikaachana nayo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.