Recent content by Catherin

  1. Catherin

    Kutunza ndoa

    MUNGU AKUBARIKI SANA:flock:
  2. Catherin

    JF ladies mnaweza?

    unaweza kumuwekea na asizitumie kikubwa ni akili kichwani kwake akijua natakiwa kutumia kinga atumie akiona hawezi sawa 2 kwani naye ni mtu mzima anaakili zake afanye anavyotaka kwa akili zake na ujinga wake kama hajui kama kuna malazi basi ata ukimwekea kinga atajua ni za kazi gani:A S-rose:
  3. Catherin

    Msaada tafadhali "Mapenzi yamchanganya"

    huyo atakuwa anamambo yake na anamtu mwingine wa karibu kwani ninavyojua maswala kama haya huwa yanahitaji ushirikiano sana na mtu wako wa karibu kuna mahitaji madogo madogo lazima akusaidie sasa yeye alisaidiwa na nani na alifanya siri inamaana rafiki yako hana maana kwake na kama ingekuwa...
  4. Catherin

    hili ni tukio la kweli

    achana nao wote kwani hautengenezi penzi la dhati hapo sana unapoteza muda wa kumpata mpenzi wa kweli na hao hawana penzi la kweli kwako kwani wasingeweza kutembea na wewe wote hao ni wapitaji 2:mod:
  5. Catherin

    Wanawake mnapovaa huwa mnamlenga nani hasa?

    tunavaa ili kujistili na tunavaa nguo fashion tofauti ili kwenda na wakati na wala sio ili kuwavutia wanaume kwani wapo wanaopendwa na hawana viwalo hivyo so tunavaa kufurahisha roho zetu
  6. Catherin

    Dalili za mume anayetembea na "house girl"

    Tukurani mpendwa kwa ujumbe mzuri sana ili tusitumie muda mwingi kuwafikilia wa baba hawa hasa wenye tabia kama izi kwani maisha mafupi haya kili mtu afanye lile linalompa amani na raha kama ni hulka yao hatuwezi kulibadili hilo kumbuka hawajaanza leo kikubwa angalia maisha yako wewe kama...
  7. Catherin

    Kama ingekutokea wewe ungefanyeje?

    Hakuna mzazi anayeweza kumfatilia msichana mkubwa kama huyo we nyamaza 2 kimya hadi atakapo piga sim na akikuuliza mwambie ukweli kwan huyo sio mtoto utapata jibu. pole sana:mod:
  8. Catherin

    Je, mwanamke aliyevaa mavazi ya heshima anaweza kupigiwa miluzi na wahuni barabarani?

    aisee mambo ya aibu haya jamani mavazi gani haya mungu wangu unavaa utazani haukutani na watu sasa we unaevaa kivazi hiki kweli unatafuta nini na kama unatafuta ufwatwe na wanaume jamani mwanaume gani nae atakupenda na akupeleke wapi jamani kwani ye hana wazazi na ndugu au familia atakupeleka...
  9. Catherin

    Nini kifanyike ili kuish kwa upendo na milele kati ya mume & mke

    Tuishi tukimjua mungu ili kila tunalofanya liwe limebarikiwa tusiwe na haraka tufanye maamuzi kwa kumuomba mungu ili atupe baraka za kuwapata wenzi bora na tukijaaliwa kuwa na watoto tuwalee kwa upendo na kumjua mungu ili wanapokuwa nao wakubwa wakaanzishe familia bora na zenye upendo
Back
Top Bottom