Nini kifanyike ili kuish kwa upendo na milele kati ya mume & mke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kifanyike ili kuish kwa upendo na milele kati ya mume & mke

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kafuta, May 9, 2011.

 1. K

  Kafuta Senior Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kumekua na matatizo mengi sana hiv sasa.ktk dunia hii yetu hv sasa.nazungumzia kwenye nyanza ya mahusiano ya mapenz na maisha kwa jumla.ndoa zinavurugika,mume kamwacha mke na mke kamwacha mume..kwenye urafiki yaan bf na gf huko ndio usiseme,kama kulala na kuamka..yaan imekua siyo issue kuachana..na kuanzisha tena.yapo meng ukiuliza..lakin yale ya msingi hasa ni nn?ni kwamba tabia zetu kwa sasa ni chafu?au ni fashion na kuiga tamaduni za watu wa magharib na kuacha zetu.?je kwa mwendo huu tutafika salama?au ndo vile tena tuache liende? dini zinanafasi ya kuweka mambo sawa?.kama ilivyo makusudi ya mungu.?hayo na mengne mengi ni maswali yanayonitatiza na ni maswali yangu kwenu..naomba kuwasilisha.
   
 2. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,618
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Tafuta couple ambayo itakufaa. Usiangalie sifa za nje wakati wa kuchagua couple. Ni dhahiri kuwa interest zenu zisipo match hamfiki mbali. Na ukiwa naye usiweke biashara kama kawaida uone sasa basi, shetani hakawii kujihudhurisha kwenu kama Mungu hajajihudhurisha. Salini sana, mtafika mbali.
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  May 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,089
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280
  kuwa mkweli na nafsi yako..
  na tuache show off..
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,711
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ee Bwana, tunakuomba utujalie upendo ukiimarishwa na neema ya sakramenti ya ndoa, tuweze kushinda udhaifu na majaribu yote yanayozikumba familia zetu wakati mwingine, tufundishe kuheshimiana na kuchukuliana kwa upendo na amani yako ibaki mioyoni mwetu
   
 5. s

  seniorita JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  lack of values in our communities kuanzia nyumbani...media ndio inafundisha watoto wetu..what do you expect in such a society? Will they ever value and respect relationships?
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,049
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  1. Mtangulizeni Mungu
  2. Uaminifu
  3. Upendo wa dhati
  4. Ukweli na uwazi
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 33,761
  Likes Received: 8,327
  Trophy Points: 280
  Andika hili kwenye note buku yako. soma biblia kwenye agano la kale katika kitabu cha hekima za mfalme Suleiman, ila nimesahau ni aya ya ngapi, inasema hivi. "PESA NDIO SULUHISHO LA YOTE" mwisho wa kunukuu. Jitahidi katika maisha yako uwe na kauchumi kidogo.
   
 8. Catherin

  Catherin Member

  #8
  May 9, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuishi tukimjua mungu ili kila tunalofanya liwe limebarikiwa tusiwe na haraka tufanye maamuzi kwa kumuomba mungu ili atupe baraka za kuwapata wenzi bora na tukijaaliwa kuwa na watoto tuwalee kwa upendo na kumjua mungu ili wanapokuwa nao wakubwa wakaanzishe familia bora na zenye upendo
   
 9. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  1. Uaminifu
  2. Upendo wa dhati
  3. Kumtanguliza mwenyezi mungu kwa kila jambo
  4. Kuheshimiana
  Wapendwa nina imani tukifuata hayo mambo tutaishi kwa upendo
   
 10. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,623
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 180
  Kwahiyo ni mwendo wakuwa na pochi lililojaa mahela
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 145
  Fanya kimoja tu.... TIMIZA AHADI YAKO YA NDOA KWA KUFUATA MAFUNDISHO YA VITABU TAKATIFU
   
 12. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,161
  Likes Received: 3,275
  Trophy Points: 280
  .....Kusikilizana, Kusameheana
   
 13. wilbald

  wilbald JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2011
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 866
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 80
  Kabla ya uchumba na ndoa....muombe mwenyezi mungu akujalie uishi maisha ya upendo,amani,furaha na ya kawaida yasiwe ya juu sana wala ya chini sana hadi ukakosa hata ka spacio kakwenda kanisani na mkeo.
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Alafu amwombe Mungu mwenzake nae afanye hivyo hivyo!!!
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 145
  .... back to reality, i love it!!

  and if it aint broken, dont try to fix it...:evil:
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Heheheh....
  Will remember that for future use!!!
   
 17. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #17
  May 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,519
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Kuvumiliana na kuwa wakweli!
   
 18. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #18
  May 9, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mambo yakisha enda vibaya chumbani hata sebuleni hapakaliki.Ndoa nyingi zinapata utata na misukosuko mikubwa swala la chumbani linapokuwa halitiliwi maanani,Pale ambapo kila mtu yupo buzz na mambo yake.Uvivu na kutokumjali haja za mwenzi wako.Ila mmoja atatafuta mlango wa kutokea.
   
 19. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #19
  May 9, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  pride (samahani sijui niisemeje kwa kiswahili ili kuipata maana yake halisi) huchangia sana kuvunja mahusiano. ukiweza kui-control au kugundua mwenzako anakuwa influenced na pride, utakuwa umeshinda 75% ya njia ya kuvunja mahusiano, kwa mawazo yangu
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  May 9, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160

  Kama kweli mnapendana then the best answer is compromise pande zote mbili....
   
Loading...