Je, mwanamke aliyevaa mavazi ya heshima anaweza kupigiwa miluzi na wahuni barabarani?

Uvaaji wenyewe ndio huu, alafu ukibakwa utasemaje?

227636_10150600434015525_544075524_18683031_1819843_n.jpg

Mabinti kama hawa si wanatuchokoza jamani!! Hivi mtu kama mimi mwenye afya iliyonawili, si mateso tu hata kama nikijifanya sijali???? Kwa kweli itabidi tuanze kuvaa suruali za vitambaa vya maturubai. Vitambaa vya kawaida vitatoboka ndani ya siku chache tu.
 
Samahanini, kama sikosei mkiangalia picha za wazazi wetu vinguo walivyokuwa wanavaa miaka ya 70 ni 'micro minis'

Ninazo picha nyingi za waschana wa zamani in those attire au walikuwa wanavalia studios tu?

Nguo hizo za zamani, hata kwa mpenda mini wa sasa havai...

Sasa sielewi why what is now vice was once a good habit!
 
Kuna mavazi ambayo ni ya kawaida ila dada dada na aunty haziishi..i have seen this mara nyingi tu,.so sidhani kama mavazi at times yana shida ila baadhi ya wanaume wenyewe na mawazo yanayoenda dunia ingine in seconds,..
 
Dah! Kuna siku nilikuwa nimevaa baibui nikakatiza mahali. Miluzi kibao hadi nikashangaa.
Wanaume muache tamaa.
 
dada akivaa nguo ya heshima miluzi inapungua jama...hilo halina mjadala
 
Dah! Mi nashidwa kuelewa mavazi ya heshima ni yapi hasa! Maana nasikia hapo zamani watu walikuwa wanavaa kama Makilikili na mambo ya ajabu ajabu hayakuwepo! Inamaana hiki kizazi kijua kunapenda sana kuliko watu wa zamani eeh? Acheni bwana, hii ni kasumba na hulka tu za watu binafsi na sio mavazi.. Mdada anaweza vaa baibui, still miluzi kama kawa mtaani!
 
Dah! Kuna siku nilikuwa nimevaa baibui nikakatiza mahali. Miluzi kibao hadi nikashangaa.
Wanaume muache tamaa.

Kama ulivaa baibui halafu nyuma unatikisa 'mzigo' kwa fujo lazima upigiwe miluzi. Kwa ufupi ni kwamba kuna vitendo fulani visivyo vya kawaida ndivyo huamsha hisia za vijana wa vijiweni kupiga miluzi. Wanawake tubadilike jamani!
 
we hujiulizi kwa nini hata wavaao mabaibui wanaolewa? unadhani hao wanaowao walianzaje kuwatongoza?
 
Kama ulivaa baibui halafu nyuma unatikisa 'mzigo' kwa fujo lazima upigiwe miluzi. Kwa ufupi ni kwamba kuna vitendo fulani visivyo vya kawaida ndivyo huamsha hisia za vijana wa vijiweni kupiga miluzi. Wanawake tubadilike jamani!
Hivi kumbe na wewe ni mwanamke????Hopefully we umeshabadilika!
 
Samahanini, kama sikosei mkiangalia picha za wazazi wetu vinguo walivyokuwa wanavaa miaka ya 70 ni 'micro minis'

Ninazo picha nyingi za waschana wa zamani in those attire au walikuwa wanavalia studios tu?

Nguo hizo za zamani, hata kwa mpenda mini wa sasa havai...

Sasa sielewi why what is now vice was once a good habit!

Tabia za binadamu wa kale si tabia za binadamu wa sasa.
Si kila kitu cha zamani kinaweza kufanya kazi mpaka sasa kwa namna ile ile ya zamani
Zamani kuna kabila ambalo akifa mtu fulani mwenye heshima ktk ukoo, basi atazikwa na vijana wengine wa5 wakiwa hai
Sasa hivi hakuna kitu kama hicho

So mambo mengi ya zamani hayawezi kufanya kazi dunia ya sasa kwa namna ile ile, kwa sababu dunia imebadilika na tupo ktk kizazi kingine
 
Kama ulivaa baibui halafu nyuma unatikisa 'mzigo' kwa fujo lazima upigiwe miluzi. Kwa ufupi ni kwamba kuna vitendo fulani visivyo vya kawaida ndivyo huamsha hisia za vijana wa vijiweni kupiga miluzi. Wanawake tubadilike jamani!

Hivi kumbe na wewe ni mwanamke????Hopefully we umeshabadilika!

Nadhani ametumia kauli hii kwa namna hii ya maongezi.
Mfano, imegundulika wafanyakazi wa ofisi fulan wameanza tabia ya kuchelewa kazini, na kila bosi akifika anakuta labda watu wawili tu wamefika kabla ya saa mbili asubuhi. Sasa bosi amekutana nao ktk kikao na wafanyakazi na kusema " . . . jamani tubadilike"
 
Dah! Mi nashidwa kuelewa mavazi ya heshima ni yapi hasa! Maana nasikia hapo zamani watu walikuwa wanavaa kama Makilikili na mambo ya ajabu ajabu hayakuwepo! Inamaana hiki kizazi kijua kunapenda sana kuliko watu wa zamani eeh? Acheni bwana, hii ni kasumba na hulka tu za watu binafsi na sio mavazi . . Mdada anaweza vaa baibui, still miluzi kama kawa mtaani!

So kwa vile zamani tulikuwa almost uchi kabisa, basi hata sasa kuvaa nusu uchi iwe sawa tu???
Au kwa vile hata wenye baibui wanapigiwa miluzi, basi hata walio nusu uchi nao waendelee kuvaa maana miluzi haitaisha sio??
Halafu wakati huo huo, hao hao wanawake wakichezeshwa jukwaani na bendi za muziki wamevaa nusu uchi, au night club wakiwa na vichupi tu ionekane wanadhalilishwa, sio???
 
Nadhani ametumia kauli hii kwa namna hii ya maongezi.
Mfano, imegundulika wafanyakazi wa ofisi fulan wameanza tabia ya kuchelewa kazini, na kila bosi akifika anakuta labda watu wawili tu wamefika kabla ya saa mbili asubuhi. Sasa bosi amekutana nao ktk kikao na wafanyakazi na kusema " . . . jamani tubadilike"
Kumbe wanaume mnaweza kujijumuisha kwenye neno wanawake ehhhh???Good to know!
 
Samahanini, kama sikosei mkiangalia picha za wazazi wetu vinguo walivyokuwa wanavaa miaka ya 70 ni 'micro minis'

Ninazo picha nyingi za waschana wa zamani in those attire au walikuwa wanavalia studios tu?

Nguo hizo za zamani, hata kwa mpenda mini wa sasa havai...

Sasa sielewi why what is now vice was once a good habit!

Tabia nazo zimebadilika sana....
 
aisee mambo ya aibu haya jamani mavazi gani haya mungu wangu unavaa utazani haukutani na watu sasa we unaevaa kivazi hiki kweli unatafuta nini na kama unatafuta ufwatwe na wanaume jamani mwanaume gani nae atakupenda na akupeleke wapi jamani kwani ye hana wazazi na ndugu au familia atakupeleka wapi akakutambulishe labda kama anataka aku use then akubwage huko ebu vaa kama mwanamke mwenye heshima zake na aliyetunzwa na akafundishwa maadili by the way ukivaa nguo ya heshima nguo hiyo haiwezi kuficha uzuri wako utapendwa 2 mpendwa ucjali kama uzuri upo upo 2
 
vazi la heshima linafahamika na hata hao wavaa mavazi yasiyo ya heshima wanajua ndo maana waendapo sehemu za heshima huyavaa hayo mavazi yaheshima. kwa hiyo ni suala la uamuzi tu, hulka ya mtu na utashi wake wakati fulani
 
Dah! Kuna siku nilikuwa nimevaa baibui nikakatiza mahali. Miluzi kibao hadi nikashangaa.
Wanaume muache tamaa.

Huwenda Ulilibana vilivyo na kuonesha mikato,mipindo ya kiwiliwili chako ndicho kilichopelekea KUPIGIWA MILUZI YA KUZOMEWA,na usichukulie hao wanaume walikutamani! Hakuna anae tamani kitu halafu akakibeza kabla ya kukipata! PUNGUZENI KUVAA VIMIBANO NA VI 3/4 UCHI VYENU!
 
Wakuu,

Kumekuwa na ubishani kati ya makundi mawili kuhusu mavazi wanayovaa wanawake. Kundi la kwanza linaunga mkono kwamba wanawake waachwe wavae kadri wanavyojisikia isipokuwa wanaume waache tamaa zao. Kundi la pili linasisitiza juu ya uvaaji wa heshima ili kuzuia tamaa za ngono kwa wanaume.

Kama wengi wetu tunavyofahamu, kuna uvaaji wa wanawake ambao umezidi kliwango kiasi kwamba hata anapopita mitaani, vijana wa kiume hupiga miluzi kuashiria jambo fulani. Swali langu ni je, mwanamke hata akiwa na umbo la kuvutia akivaa kwa heshima na kupita katikati ya vijana anaweza akapigiwa miluzi???

Hilo halina UBISHI,mwanamke akivaa mavazi ya heshima, HUHESHIMIWA HATA ZAIDI YA ANAVYOJIHESHIMU MWENYEWE.
 
Back
Top Bottom