Anahitajika mtaalamu wa kilimo na mifugo mwenye elimu ya kuanzia ngazi ya stashahada mwenye ujuzi na uzoefu kwenye tasnia ya ufugaji wa kuku wa nyama wa kisasa.
Eneo la Mradi: Kazimzumbwi - Kisarawe (Pwani)
Anatafutwa mtu mwenye sifa:-
Mwenye ujuzi na uzoefu wa kusimamia na mradi wa ugugaji wa...
Kwa niaba ya umoja wetu Kionambali Psychological Team, nawapongeza sana kwa nafasi mliyo ipata.
Ni ukweli usiyopingika kuwa mmeipata nafasi adimu na adhimu sana. Hivyo HONGERA sana.
1.Kuhusu Mkopo, msiwaze sana kuhusu hilo. Hiyo ni hatua nyingine inayojitegemea. Maana upataji wa mkopo ufanyika...
Ndg zangu poleni kwa mihangahiko ya hapa na pale.
Kwa wale tunaotafuta kazi au jinsi ya kuishi kwa manufaa ya elimu tuliyopata, fungua link hii hapa chini ujisajiri na kuwa miongoni mwa walionufaika na elimu yao.
http://jobrize.com/index.php?ref=367586
Hello Brothers and Sisters!Hongereni kwa Kuchaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu Bora Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Hoja zenu nimeziona, naomba kuwapa majibu sahihi maana mimi ni mtangulizi wenu chuoni hapa.
Kuhusu ADMISSION FORM, zinapatkana kwenye website ya chuo, lakini si vizur kutumia hiyo...
Hello Brothers and Sisters!Hongereni kwa Kuchaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu Bora Tanzania na Afrika kwa ujumla.Hoja zenu nimeziona, naomba kuwapa majibu sahihi maana mimi ni mtangulizi wenu chuoni hapa. Kuhusu ADMISSION FORM, zinapatkana kwenye website ya chuo, lakini si vizur kutumia hiyo maana...
Mwembeni na Masahibu yake..... Askwambie m2! Unwanted figures...... Kisonga.... Ctive...... Katamba..... Jamboz...... Walikuwa poa sana! Mungu awape maisha marefu..... Major Mayebe..... Capt. Nyarusi...... They were Good in all aspects..... Babu Juma, Bonge Mama Neema kwa wale wapenz wa...
Ndg wana jamii kuna tetesi zinazagaa kwa kasi kuwa inawezekana ukakata rufaa ili ubadilishiwe chuo? Jamani mwenye ukweli kuhusu hili tunaomba aje na ukweli!
Naomba mtu yeyote mwenye kujua masomo ya BED IN PSYCHOLOGY baada ya chuo soko la ajira likoje anisaidie. Je serikali huwa inatoa ajira za moja kwa moja kama ilivyo kwa walimu waliosoma mf. BA with Education? Pia anaweza kufanya kazi zipi? Zaidi ya hapo niwapongeza nyote ambao mmesha jua wapi...
umekomaa kuanzia mabegani kwenda chini wala si akili kumkichwa......! Weka data za kutosha kama unajiona kuguswa sana na wazo la watoto wa wakubwa kwenda na wazazi wao.....! Kwa taarifa yako; hata wasipo soma na ww uka kesha mpaka ukaibuukia kuwa prof, katu hutoishi maisha kama yao! Pia angalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.