UKitaka kujua kiwango cha mashoga nchi hii,angalia watu wanaomtukuza diamond.
Jinsi muziki wake ulivyoleta damage kwenye maadili,tabia zake za kufuga mashoga,na anavyowarahisishia wanaume wakware kulawiti watoto wa kike,ingetosha watu kutomkubali lakini ni wazi wanaomkubali ni wanufaika wa mambo...
Nimeona mjadala wa colabo iliyofanywa ikimshirikisha Diamond,waislam wameuhamisha kuwa wa kidini.
Waliomlaumu Joel Lwaga,walimlaumu kwa sababu ameshirikiana na mtu wa muziki wa kidunia. Sio tu muziki wa kidunia,bali msimamo wa mtu huyo kuhusu maadili.
Siyo tu msimamo wake,bali kazi nyingi...
Ninasikitishwa na kadhia ya mgomo wa madereva wa mabasi wanaoshinikiza eti wasikatwe pointi kwenye leseni zao wanapofanya makosa.
Pamoja na hayo kuna mmoja nimemsikia akisema eti wanatozwa faini hata mara tatu ya kosa la kuzidisha mwendo na kwa hiyo anaona alistahili kuipa mara moja hata kama...
1. Karibu influencers wote wa Simba wanatumika kuhujumu timu.Ni kama wanne ama watano tu ndio tunawaona wakiwa sawa wakiongozwa na pasi milioni.
2. Viongozi wanaoanzisha choko choko na kuleta taharuki aidha kwa kauli zao ama matendo yao
3. Waandishi na wachambuzi mfano wale wanaoongelea ofa ya...
Jana nimeona katika vyombo vya habari NSSF wakijinasibu kwa ukwasi mkubwa waliotengeneza.
Jambo hilo linaonekana kama hatua ya mafanikio kwa shirika hilo lakini mimi nalifananisha na jambazi mwenye silaha za moto aliyefanikiwa kupora mali za watu na sasa anatoka hadharani kutamba kwamba...
Sitaki kuwachosha ila kuna maamuzi yalufanywa na watu wanaoongoza mpira ambao elimu zao ya chinibni degree.
1. Kwamba mchezaji wa nje atakayesajiliwa na timu zetu,awe anacheza timu ya taifa ya nchi husika!!
Maana yake hatutakuwa na wachezaji kutoka Senegal,Ivory Coast,DR Congo,South Africa n.k...
Sitarajii TFF iwe na huruma na hawa waamuzi wanaofanya makosa maksudi licha ya wao kuwa na nafasi ya kupitia maamuzi yao kupitia vfs.
TFF wawe na standard katika kushughulikia makosa yanayofanywa na wachezaji pamoja na waamuzi.
Mfano ni Eli Sasii ambaye ameshindwa kutoa adhabu sahihi kwa beki...
Kwa miaka kadhaa kumekuwa na malalamiko ya waamuzi kuchezesha kwa maelekezo ya timu zenye uwezo wa kifedha ama nguvu serikalini.
Kwa kupunguza ama kuondoa kabisa malalamiko kama hayo TFF ilifanya jambo la maana sana kuleta vfs iliyokusudiwa kupunguza makosa ya kibinadamu.
Hata hivyo bado...
Tumeona ya jana jinsi kocha wa Gaborone alivyopigwa ngumi na staff wa Yanga bila sababu yoyote ya msingi.Hiyo nawaambia ni trela tu picha lenyewe linakuja pale nyuma mwiko watakapopoteza mechi muhimu kwenye hii ligi wanayoitawala nje na baadae ndani ya uwanja.
Huyu mtu amefanikiwa kuufanya...
Kumekuwa na ongezeko la watoto wa kike ambao wanakataa kuingia kwenye mahusiano kwa visingizio kadhaa ikiwemo wana focus na uchaji Mungu huku wakisubiri mtu sahihi,ambaye kwao ni mwanaume mwenye utajiri.
Hawa watu wanaishi kwa pesa za kudanga kwani watu wengi huwa wanajipata wakiwa tayari na...
Timu iliyojaa mashabiki wanaotegemea uchawi na nguvu za serikali ni dalili za woga na kutojiamini katika mpira.
Mashabiki wanamtukana mchezaji mmoja kwa ushirikiano na wadangaji wa kwenye mitandao huku wakimtisha eti timu yao ina watu na mkono mrefu hadi serikalini?!!
Huku ni kuonesha udhaifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.