Habari zenu wanajamii foroum! Last 3 weeks nilitangaza kuuza shamba! Nilikaa na madalari na wazoefu wa bei za viwanja wakanipa bei
Shamba lipo barabarani kabisa suitable kwa Filling Station,Hospital,Shule,Hotel yenye parking ya kutosha ofisi n.k
Hekari mbili 2 kasoro bei 25 tu
Sent using...
Kwa anaehitaji eneo la barabarani kwa ajili ya Sheli,Hospital,Hoteli au Vyumba vya kibiashara anitafute 0768613965
0621092983
Eneo lipo barabarani kwa Sheli Hotel na Hospital ndo penyewe kwa wenyeji wa Mlowo lipo Ilonga karibu na mzani
Karibuni sana
Sent using Jamii Forums mobile app
karibu Wilaya ya mbozi mkoa mpya Songwe mji Mdogo Mlowo mji wa kibiashara unaokua kwa kasi upo takriban kilometer 5 kutoka makao mapya ya mkoa wa songwe mlima serewa
Kwa wanaohitaji eneo la barabarani kwa ajili ya shughuli mbali mbali za kibishara mfano kujenga Hotel Hospital Sheli vyumba vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.