Free unlock code day

Free unlock code day

Simu ni Vodafone smartbomba

VD 301
V301VDTZ1
35444008037252
354440080037260
 
Screenshot_20170522-123939.png
 
Mkuu shukrani ubarikiwe na uendelee na moyo huo
Watu kama nyie mpo wachache sana hapa jukwaani shukrani sana
 
Wakuu msipagawe na Offer uzalendo ukawashinda.
Nashanga kuona watu mnaweka IMEI zenu mahala peupe ivi.

Kitendo mnacho fanya ni sana na Kunya. Round about
Au kufanya mapenzi stendi kuu ya mabasi
Kwani imei ni siri. Kama ni siri basi tumeisha maana hata simu zenyewe tumeletewa hatujui hata manufacturer nani?
 
Mkuu msaada tecno n8 ya tigo kuunlock line zote.... Imei hizi hapa
ec458ab6f68f71512e6283d3ee9dc0c7.jpg
 
Leo ni siku ya ku-unlock simu zinazohitaji unlock code bure ili kudumisha mahusiano mema na wateja wetu. Tuma aina ya simu na imei namba zake pamoja na provider code (kwa vodafone huwa zinaanza na 2avdtz1).

Kwa zinazohitaji direct unlock unaweza kufika ofisini kwetu ama uwe na kompyuta yenye internet, tutakuhudumia huko ulipo bure (namaanisha bila kulipa hata sent moja).

Mawasiliano: 0715387545

Kwa zinazohitaji direct cable naomba udownload program zifutazo ndipo upige simu;

1. Teamviewer inapatikana www.teamviewer.com
2. Flexihub inapatikana www.flexihub.com

Install hizo program na unitumie Team Viewer ID na password yake kwa ajili ya kuendelea na zoezi.

Vodafone VFD300
IMEI 356774071110100
2BVDTZ1
 
Huawei lua-u22
Lua-u22c713b103
Imei 863990030702896
 
Serial number G8m9XA16B2910370
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom