Recent content by Carlssin

  1. Carlssin

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Not terrible. Leo wote wawili wameonekana mazoezini.
  2. Carlssin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Tumegundua baba ana mchepuko unaomfanya arudishe maendeleo ya familia nyuma; je, tumwambie mama?

    Roger That Maoni yenu, nimeyapokea.. nitafanyia kazi. Thanks Guys.
  3. Carlssin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Tumegundua baba ana mchepuko unaomfanya arudishe maendeleo ya familia nyuma; je, tumwambie mama?

    Hii hatua ya fumanizi nadhani ni hatua ya mbele kabla ya hatua fulani. Kuhusu maradhi ndio hofu yangu, maana najua nitakuja kujutia ukimya wangu baada ya tatizo
  4. Carlssin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Tumegundua baba ana mchepuko unaomfanya arudishe maendeleo ya familia nyuma; je, tumwambie mama?

    Ukisema hayatuhusu sisi watoto siwezi kukulaumu, maana viatu tunavyovaa vinatofautiana familia yangu na yako. Ila nimechukua baadhi ya maneno yako, I will keep them into considerations.
  5. Carlssin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Tumegundua baba ana mchepuko unaomfanya arudishe maendeleo ya familia nyuma; je, tumwambie mama?

    Hadi yakukute ndio utajua unahusika vipi.
  6. Carlssin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Tumegundua baba ana mchepuko unaomfanya arudishe maendeleo ya familia nyuma; je, tumwambie mama?

    Kwahiyo wewe ni wa kike kwa sababu pia hauna uhakika kwa yule ni baba yako. Akili ndogo
  7. Carlssin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Tumegundua baba ana mchepuko unaomfanya arudishe maendeleo ya familia nyuma; je, tumwambie mama?

    Mkuu pole sana! Na mimi hofu yangu kubwa ipo kwenye hatima ya hii familia. Nimekupa LIKE lakini, hiyo LIKE imebeba majonzi ndani yake. So sorry
  8. Carlssin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Tumegundua baba ana mchepuko unaomfanya arudishe maendeleo ya familia nyuma; je, tumwambie mama?

    Hizi ni takwimu za uzoefu wako! Asante mkuu. Ni kweli siwezi kujua undani, lakini pia siwezi kuweka hapa kila aina ya vimbwanga hapa vya mzee, itawachosha maana sio lengo la hii post. Nimejaribu kutoa japo moja ya matukio makubwa yanayoathiri familia ili mpate picha, ila pia una haki ya kusema...
  9. Carlssin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Tumegundua baba ana mchepuko unaomfanya arudishe maendeleo ya familia nyuma; je, tumwambie mama?

    Umri sio jambo la muhimu. Nilitaja sehemu anapofanyia kaz? labda kama CWT ilikupa wenge, nikusaidie; CWT ni Chama cha Walimu Tanzania. Au Tanzania ndio sehemu unayozungumzia wewe? Anyway, nimezingatia zaidi aya yako ya pili, kidogo umejaribu kuongea kama mtu mwenye utimamu.
  10. Carlssin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Tumegundua baba ana mchepuko unaomfanya arudishe maendeleo ya familia nyuma; je, tumwambie mama?

    Greetings! Ninaishi kwenye familia yenye wazazi wote wawili, watoto wanne, mimi nikiwa mtoto wa kwanza na ndiye wa kiume pekee. Namshukuru Mungu, kwa sasa mimi najitegemea. Changamoto kubwa ipo kwa hawa wadogo zangu, wawili wanasoma chuo bila mkopo, pesa ya ada na kujikimu wanalipiwa na mama...
  11. Carlssin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili anielewe kuwa sikufanya makusudi kuanika picha zake za utupu?

    Kuna vingi vya kujifunza
  12. Carlssin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili anielewe kuwa sikufanya makusudi kuanika picha zake za utupu?

    hapana mkuu, kuna option ya kuselect picha>share to whatsapp>to conctact hapo ndio una-share status
  13. Carlssin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili anielewe kuwa sikufanya makusudi kuanika picha zake za utupu?

    Bora online, au sio mkuu!
Back
Top Bottom