Recent content by carlos4050

  1. C

    JamiiForums Tanzania Lissu alipomsaliti Magufuli CHADEMA mlishangilia, zamu yenu sasa

    Ooh Mimi siko upande wowote mana Mungu ndo anajua ila wewe vipi utaenda mbinguni?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tani 100 za Ulezi msafi zina itajika!

    jamani nina gari inabeba hadi tani 7 kwa wanaosafirisha ulezi usafiri.upo
  3. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu kozi ya software Engineering

    Chuo bora hapa Tanzania kinachotoa kozi hiyo ni kipi?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu kozi ya software Engineering

    jamani ndugu zangu naomba mnisaidie kuna ndugu yangu anataka kusomea software engineer je ili akasomee course hiyo anatakiwa afaulu masomo yapi ili aqualify kusomea kozi hiyo na vyuo gani vizuri vinavyofundisha kozi hiyo asane
  5. C

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    samahani wanajamvi Mimi nimemaliza form four na nimepata alama hizi hapa Math-D,CHEM-D,PHY-D,BIOS-C, na ENG-C na ndoto zangu zilikuwa kusomea udaktari au engineer wa oil&gas na mpaka sasa nashindwa kuelewa nifanyaje naombeni ushauri asanteni[emoji120] [emoji120]
Back
Top Bottom