Wa JF.
Watanzania kila kukicha wanazidi kukamaliwa na hawa wawekezaje huku serikali ikiwa upande wa wawekezaji.
Mabenki yanajipangia riba kubwa wanavyotaka wao lakini serikali wala haina tatizo kwenye hilo.
Sasa hivi haya makampuni ya simu yanafanya wizi mkubwa kwa wateja wake kwenye kuuza...
Wana JF.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wananchi wanapata usumbufu mkubwa mno kutoka kwenye haya mabasi ya mwendokasi siku za weekend, Jumamosi na Jumapili.
Hawa wamiliki wa haya mabasi wanatumia mabasi machane mno wananchi wanajazana kwenye vituo kwa wanasubiri mabasi zaidi ya masaa mawili...
Kwa hiyo wewe history yako inaaanzia mwaka 2000 tu utaki kurudi nyuma?
Wewe umesema waarabu wamezoea kuawana wenyewe kwa wenyewe.
Kwani topic hii inawahusu waarabu???
Uturuki ni mwanachama wa NATO maana hiyo yupo Ulaya wewe ndiyo Google kujua Uturuki ni Waarabu kisha uje utufahamishe.
Sasa wewe na mimi nani ana porojo kwani Uturuki ipo wapi?
Halafu unaposema waraabu wanapenda kuawana wenyewe kwa wenyewe uje na ushahidi.
Siyo kweli hata wazungu wanauwana wenyewe kwa wenyewe soma history.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.