Recent content by carlos raull

  1. carlos raull

    JamiiForums Tanzania Tunamsaidiaje Irene? Kanyimwa talaka na mumewe, kesi Jumatatu mahakamani

    Kwa ufup jamaa bado anampenda mkewe japo wamengana kwa zaid ya miaka 2 na talaka asitoe, lakin kilicho mpeleka mahakaman ni kutaka kurudiana na mkewe na mwamke hayuko tayar ana nae, kwahiyo Mume ameamua ku2mia nguvu ya pesa kupenyeza lupia kwa mkuu wa kituo,wakili pamoja hakimu, imebainika...
  2. carlos raull

    JamiiForums Tanzania Tunamsaidiaje Irene? Kanyimwa talaka na mumewe, kesi Jumatatu mahakamani

    Anaomba ushauri wa kisheria; bwana Yesaya alifunga ndoa na mwanadada Iren miaka 4 iliyopita, ndoa yao ilidumu kwa miaka 2 tu kisha mwanamke akaondoka baada ya kutoridhiswa na tabia za mumewe, hususan kunywa pombe kupita kias, uvutaj wa sigara ulioptilza n.k, baadae alimuomba TARAKA take ili...
  3. carlos raull

    JamiiForums Tanzania Si kila talaka ni uonevu

    Utakua umemchoka tu, kwahiyo umeona ndiyo nafasi yako ya pekee ya kumuacha
  4. carlos raull

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawapendi haya muwapo faragha

    Mmmmh.....!!!!!! Makubwa
Back
Top Bottom