Recent content by Carina

  1. Carina

    KERO Responded Wizi wa mita za maji washamiri Mbweni Teta, DAWASA wapo kimya

    Yaan shida tupu kwa kwel? Hata huku Mbezi Luis uizi umeshamiri kwa kasi sana.
  2. Carina

    Leo nimepigwa faini kwa kosa la kutosimama kwenye Zebra

    Aisee wanajamvi leo nimepigwa faini kwa kosa la kutosimama kwenye Zebra. Sio kupunguza mwendo ni kutosimama kabisa. Nilikuwa sijui kama ndio hivyo. Kwan nilipunguza mwendo na hakukuwa na watu kabisa wanaosubiria kuvuka basi nikaendelea kuendesha mbele ndio nakutana na trafic akanissimamisha...
  3. Carina

    Zipi ni condom nzuri?

    Wadau naomba kujua ni kondomu zipi nzuri kwa tendo, yaani zile ambazo haziumizi na ambazo ukivaa na kufanya tendo kama vile unakula kavukavu. Ni zipi hizoo? Msaada plzzzz
  4. Carina

    Naomba Orodha ya Vitabu vyote vya Willy Gamba.

    Kikosi cha kisasi aiseee bongeee moja la moviee we achaa tu. Hata hvyo vingine vikali sana ila Kikosi cha Kisasi daaaaaaah acha kabisaa
  5. Carina

    Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    No Challenge ndio TASHRIFF ya sasa
  6. Carina

    Kumiliki ardhi

    Assnteni sana ssna kwa ushaurii nitaufanyia kazi
  7. Carina

    Kumiliki ardhi

    Wakubwa, Msaada kidogo, Ninataka kununua tu eneo ambalo mtu ananiuzia, ninataka kujua nitahakikisha vipi kama hapa sipigwi na pia kujua kwamba hili eneo ana miliki kihalali. Eneo lenyewe lipo Kibaha Ni vitu gani hasa vya kufanya kuhakikisha hapa kwamba sipigwi nanunua kihalali Naombeni...
  8. Carina

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Bora hata huko. Sisi huku Makabe hata miundombinu hamna
  9. Carina

    Shinikizo la juu la damu (High blood Pressure) Fahamu chanzo, kinga na tiba ya tatizo hili

    Dk mi nafikiri pia kuna madk ambao hawana ushauri mzuri pindi tu wakikupima na kuona kuwa pressure iko juu basi wanakuanzishia dawa hapo hapo. Yaan hawakupi labda chansi ya kuweza kuregulate pressure kwa muda. Mm ni muhanga ninatumia dawa nadhan mwaka wa 5 huu ila ninataka kuacha lakin naona...
  10. Carina

    Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Pia kuna makuchu balaaaa yaan ni hatareee
  11. Carina

    Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Hivi Hood imepotea siku hizi??
  12. Carina

    Fredwaa wa Clouds Fm yuko wapi?

    Mpaka leo hasikiki Fredwaa
Back
Top Bottom