Hakuna wa kumwamini, tusubiri tu leo vijana wa Form IV wameanza pepa. Wakitoa majibu tutajua nani mwongo na nani mkweli kama Div 5 au 0, yangu macho time will tell
Wakuu hebu nijuze, kama samaki nao ni kitoweo hivi nani anapaswa kuwachinja mashehe au maaskofu? Mbona tunachinja wenyewe kilaini? Je na hili linahitaji kuwa kwenye katiba?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.