Recent content by Carica_papaya

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Serengeti ni sawa na Mfanyabiashara kushindwa kusoma alama za Nyakati (Business always its Uncertainty)

    Biashara siku zote ina ushindani Mfanyabiashara haupaswi kulalamika ( Musukumu+ Joshua Nasari kuwa jirani amefungua Duka ataathiri mauzo yako.. Uwanja wa ndege upo kwenye CCM manifesto 2025-2030.. as the Country revenue strategy.. sasa Mbunge wa Chama Tawala unapingana na Ilani yako ya Chama...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi mpya zimewasili ✅

    1. Tufanye recruitment mpya ya Madereva.. hawana Customers care.. wamejisahau.. wanapitiliza Vituo bila sababu za Msingi/ Kufunga / kuchelewa kufungua Milango kwa abiria 2. Tuwe na kituo cha matengenezo.. empowering financially & Human resources.. Technical staffs
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kwamba Mwenyekiti wa CCM Taifa amejipitisha kuwa mgombea urais kwa mlango wa uani/jikoni? Na Msajili kajikalia kimyaaa kama hamna kilichotokea

    Polepole anapewa coverage kubwa.. Wanaomjua watupe CV yake kuanzia akisoma shule ya Msingi Mbuyuni/ Shule inatazamana na St Peters.. na alifundishwa na Mama Magufuri. Darasa la akina Kajala
  4. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole acharuka: CCM yavunja Misingi, Haki yazimwa, Katiba ilichakachuliwa na Utekaji wazidi kutisha

    Polepole anapewa coverage kubwa.. Wanaomjua watupe CV yake kuanzia akisoma shule ya Msingi Mbuyuni/ Shule inatazamana na St Peters.. na alifundishwa na Mama Magufuri. Darasa la akina Kajala
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kama Humphrey Polepole Yupo Nchini ajitokeze na siyo kujificha ficha Ugenini na kudanganya watu kuwa yupo nchini

    Polepole anapewa coverage kubwa.. Wanaomjua watupe CV yake kuanzia akisoma shule ya Msingi Mbuyuni/ Shule inatazamana na St Peters.. na alifundishwa na Mama Magufuri. Darasa la akina Kajala
  6. C

    JamiiForums Tanzania Dogo Pateni ni msanii wa singo moja, amemaliza muziki wake tayari

    Usipende kutoa hitimisho la Mtu Tuepuke ku judge katika maisha hiyo ni Kazi ya Maulana
  7. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msanii Lulu Mapunda anayeiunga mkono ajenda ya 'No reforms No election' huko Instagram amelalamikia kupewa vitisho

    Political Strategy ya kukusanya watu... kutukana Serikali.. ni outdated Politics.. CDM watamkumbuka Mboye Master Mind.. for 5 yrs Chama hakitakua na Mbunge.. Watu wamekalia No.. Reforms.. No Election# Upuuzi.. Heche ana Uwezo Mdogo sana!.. kutoa mapovu kwenye Mikutano! You wont compare Easter...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Angalia Ukubwa wa Bajeti za Nchi za Afrika Mashariki-EAC Hapa. Je Uganda Kuipita Tanzania mwakani?

    1. Budget na Utekelezeji wake ni Vitu viwili tofauti 2. Budget inajumuisha fedha za Wahisani ( Donors) Uganda wanaweza kuwa na Budget kubwa lakini ikawa imeelemea kwenye Utegemezi 3. Tanzania imeendelea kupunguza Utegemezi kutoka nje 4. Vyanzo vya Mapato... Tanzania amefuta Kodi nyingi zilizokua...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kila nikisikia stori za Mungu nahisi kichefuchefu

    Dalili ya Mapepo/ Majini
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wanawake Tanzania na Afrika kwa ujumla mlinde haiba yenu ya kike

    Huu ni udhalilishaji Wanawake Kupitia mitandao ya kijamii Kuchukua picha ya mtu bila idhini yake kisha kuweka kwenye mitandao Kila mtu ana haki ya kuishi atakavyo ikiwemo Mavazi na hujui ni kipindi gani amevaa hivi Hauna haki ya kuwapangia wengine zaidi ya Familia yako
  11. C

    JamiiForums Tanzania Taazia: Ninavyomkumbuka Mzee Mustafa Songambele (1925 - 2025)

    Apumzike kwa Amani
Back
Top Bottom