Recent content by caren uuu

  1. caren uuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba baadaye kuwa mme

    Njoo pm
  2. caren uuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefikia muda wa kuoa, nakosa mke mwenye sifa zifuatazo

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  3. caren uuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba baadaye kuwa mme

    Nipo serious nahitaji mwanaume ambaye ana hofu ya mungu.,, mchapa kazi awe amwajiliwa au kiajiajili yote sawa, , mkristo RC, mwenye kujua nini thamani ya mwanamke,kitu kikubwa haswa AJITAMBUE , awe mwembamba., mweupe au maji yakunde., itakuwa vizuri zaid iwapo ata kuwa mbeya au mikoa jirani...
  4. caren uuu

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kudanga ni sawa?

    Achana na mambo yote hayo unayoyawaza? , sote binadamu hakuna aliye kamilika...rudi nyumban kwanza kawaone wazeee au watu muhimu kwenye maisha yako, ,, maana maisha bila furahaa au baraka ya wazazi au walezi ni ngumu, ,, utaangaika sana nakujiuliza kwanini sifanikiwi kaka,, , kingine muombe...
  5. caren uuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani unachokimisi kutoka kwa EX wako?

    Na miss vitu vingi tu.. lkn kimojawapo., namiss sana vituko vyake masihara yaani.,, iseee ataningekuwa na hasira kiasi gani lazima nitacheka tu
  6. caren uuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uvumilivu unaelekea kunishinda!

    In fact
  7. caren uuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutongoza kwa ulaghai wa ndoa

    Yeah cyo wote ni kumi kwa mmoja.lakini asilimia kubwa hiyo ndo gia yao... yaaani ni hatari sana, , ukweli sikuizi hamna na hilo ndo tatizo
  8. caren uuu

    JamiiForums Tanzania Hello

    Powa
  9. caren uuu

    JamiiForums Tanzania Hello

    Asantee
  10. caren uuu

    JamiiForums Tanzania Hello

    Hodiiiiiiiiii mgeni humu jamn
Back
Top Bottom