Recent content by cardiologue

  1. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Madaktari walio Internship Kutolipwa Posho kuanzia Mwaka Huu

    Nilikuwa na mpango wa kurudi ili kusaidia kupiga hatua katika sekta ya afya....kwa yanayoendelea nimekatishwa sana tamaa, wacha tuendelee kupambana katika nchi za watu.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nawauliza viongozi wangu wa CCM, fomu za kugombea Uenyekiti wa CCM Taifa zitatolewa lini?

    Kwa hiyo ataishinda hewa mkuu??
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kamati ya uongozi CUF yamtaka Lipumba agombee kuepusha mpasuko

    Mkuu kwani hujui kuwa ccm na cuf wana historia ya kuungana?? Maalim asingesusa zbar wangeungana tena ktk awamu hii ya mwendokasi.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Unafiki huu umeimarika kuliko ule wa miaka mingine

    Sawa mkuu, muda utaamua
  5. C

    JamiiForums Tanzania Unafiki huu umeimarika kuliko ule wa miaka mingine

    Ofcoz, katika masuala ya msingi kwa maendeleo ya taifa....itikadi zikae pembeni tusimame wote kwa sauti moja.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Unafiki huu umeimarika kuliko ule wa miaka mingine

    Wakati mwingine kelele zao zinasaidia mkuu.Kwenye kukosoa tukosoe, kwenye kupongeza tupongeze tusiwe watu wa ndiyoo ndiyoo hatutafika popote.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Unafiki huu umeimarika kuliko ule wa miaka mingine

    Mkuu lizaboni nakuheshimu sana, mimi pia sio shabiki wa vijana wa upinzani aina ya kina saanane lakini wanaposema ukweli lazima tuukubali kwa maendeleo ya taifa.Nchi ni yetu sote, tunaoumia ni sisi wote hasa ndugu zako walio kule kwenu kijijini wanaokosa huduma muhimu.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu 'haifahamu vyema' Tanzania

    Mkuu hivi lissu amewahi kushinda kesi gani?? Naomba na ushahidi.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka

    Hivi mbowe elimu yake ikoje? Nasikia kubenea nae elimu yake ni ya hapa na pale mkuu ni kweli?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wakati Marekani kupitia MCC, China wajipanga kuwekeza kwenye Sekta ya Nishati nchini

    Mkuu maendeleo hayaji kwa kutegemea misaada, bali, watu kuungana na kufanya kazi kwa kujituma bila kujali itikadi za vyama wala, dini au rangi.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Sababu za Msingi kwanini Bomba la mafuta Uganda lipite Bandari ya Tanga

    Kwani kenya wangepata faida gani? Akili za ukawa bhana.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa mapato na matumizi ya serikali kwa mwezi Machi, 2016

    Ssaa tukikabidhi chama gani mkuu? Hiki wanachozungusha mikono? naona kama bado hivi, sababu hata mzee wetu wa monduli alisema ’tusipoitoa ccm mwaka huu tusubiri miaka 50 ijayo’ so safari ni jdefu hata wenyewe wanajua. Hi
  13. C

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa CUF, Hamad Massoud akamatwa Zanzibar

    Mkuu hivi kwa siku unaingiza kiasi gani unavyoshinda mitandaoni kupinga pinga tu
  14. C

    JamiiForums Tanzania Imechukuwa Miaka 50 kwa Makonda kuliona hili??!

    Ni moja ya vijana wa bavicha wachache wanaokubali ukweli usemwe hata kama ni mchungu, hongera mkuu
  15. C

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

    Mkuu naona povu kweli kweli, pole bhana yawezekana nyie ndo wanufaika wenyewe.Muitaliano kapigwa, hau hujasoma vzr nini?? Kwa lugha nyingine unaweza husisha hii issue na utapeli ndani yake.Pole mkuu.
Back
Top Bottom