Hey! members!!
Ligi kuu Tanzania.
YANGA 1
Ndanda 1
Dakika 90 zimeisha uwanja wa Nangwanda sijaona Mkoani Mtwara.
Ndanda 1 likifungwa na Mayanga wa Ndanda FC.
Na goli la YANGA likifungwa na Tshishimbi kipindi cha Pili.
Mpira umeisha kwa sare mkoani Mtwara.
Ahsanteni!!
Bado mechi haijairishwa waamuzi wanakagua uwanja kama mpira unaweza kuchezeka kwa maji yaliyopo.
Sababu mvua imenyesha ya kutosha.
Tunasubiri maamuzi tu toka kwa referees
Yaani mkuu ipo hivi SPYMATE nikibonyeza *#06# IMEI zinakuja zimefanana, na nikiangalia IMEI nyuma ya simu yaani nyuma ya battery linapokaa IMEI ziko tofauti na IMEI ambazo nikibonyeza *#06# kwenye screen, so nifanyeje ili IMEI zinazotokea kwenye screen zifanane na IMEI za nyuma ya battery?
Sent...
Naweza je kurudisha IMEI za simu?
Maana nimeangalia kwa hii *#06# IMEI zimekuja zinafanana na Sim 1 na Sim 2 na nikiangalia nyuma ya battery ni IMEI original nafanyaje zifanane na IMEI za nyuma ya battery endapo nikiuliza kwa *#06# msaada tafazali mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.