ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,294
Habari wakuu!!
Hapa Nina smartphone yangu,
Nikiuliza IMEI zake zinafanana Kati IMEI ya SIM 1 na SIM 2,Hizo IMEI zitakuwa zimebadilishwa? Na kama zimebadilishwa nafanyaje kuzirudisha IMEI za awali msaada tafadhali!!
kuna program inaitwa SN WRITER, Itafute google, utaipata inaweza kurudisha IMEI za MTK
Pia kuna program nyingine inaitwa IMEI & SN writer tool inaweza pia