Malipo ni kwa commission, juhudi yako ya mauzo ndio kujipatia kwako kipato kingi,
Pia ukimuunganisha mtu mpya kwa ajili ya mauzo, unakua unalipwa commission
Mshahara wa mwezi hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza ukaorodhesha hapa hizo kozi ulizosema kuwa hazina msaada wowote??
Na pia tunaomba utu orodheshe kozi unazoona wewe kuwa zina msaada??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna ulipokosea,
Sio kwamba kila alie apply angeitwa,
Subiri wakati wako bado,
Sio mbaya ukiendelea kumpiga tafu mzee wako Mkulima ili siku zisonge
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo namba moja, Atakua anachagua kazi, mbona kazi zipo nyingi sana, ila sisi wasomi tuna matarajio ya kazi fulani fulani ambayo inapelekea kuchagua kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuaje kafanya ufisadi Mahakamani,
Kwa mujibu wako!!,
Afu Rais anamteuwa tena??
Kwa nini??
Na Rais huwa anawaondoa watu wakihusisha na ufisadi
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.