Kashaanza kusema eti bado yupo transition...yaani transition my foot ...atumie mapesa yote Yale aafu bado hajapata kikosi anachotaka yaani hapa tunapigwa huyu ni kocha Dalali😁😁😁.
Duniani kuna wachezaji wenye bahati sana. Tazama Isack alivyo pancha tangu yupo Real Sociedad na Newcastle aafu klabu...
Ni sahihi kabisa Mkuu. Ipo hivi identity ya Liverpool ni high intensity football tangu alivyotua Klopp alijenga kikosi chake kwa huo mfumo , alivyokuja huyu Kipara Arne ni Total Control kwa wachezaji wale wale wa full gegenpressing lazima ingefika mahala aidha kocha anyanyue mikono au...
Kinachosikitisha ni kwamba tunabaki nae mazima msimu ujao maana sijui Hawa FSG wanasubiri maajabu kutoka wapi.
Tetesi ni kwamba baadhi ya wachezaji hawana kabisa Imani nae tena angalau Salah alisema laivuu bila chenga wengine wanashindwa kutoka hadharani.
We are so doomed..
YNWA
Kocha ana lawama yake baada ya kuona wachezaji wengine wamepoteana alitakiwa awe na udhubutu lakini ni muoga sana kuamini hata hawa under 20s au akina Chiesa yaaani.
YNWA
Carragher alishasema Arne hana maarifaa kututoa kwenye hii Hali ya vipigo lakini FSG kwa kutazama tu kaleta ubingwa last season basi wanakomaa nae eti poor judgement.
YNWA
Its a continuous cycle mate...we had Gini, Fabby, Mane, Diaz nk wote hao walitaka mshahara unaoedana na mishe zao uwanjani lakini walionyeshwa mlango wa kutokea.
Slot plus FSG ni time bomb 💣 🙆🏾🙆🏾
YNWA
Diaz sale was our very own down grading.... By the way Bayern walimu point kwanza Gapko wakapewa taarifa hauzwi hapo wakauliza je na Diaz duh huyo ikawa a big YES....
Sasa sijui Edwards atakuja na mbinu ipi kusajili wachezaji wawili dirisha lijalo , replacement ya Salah na Diaz.
YNWA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.