Recent content by capito1

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Uhamuzi wa either kwenda kusoma au hapana na ukasome course gani inategemea na malengo yako ya baadae,unajiona wapi miaka 5 au 10 ijayo. Hata hivyo wakati unafanya maamuzi ni vizuri kuzingatia yafuatayo ili usije kuwa dissapointed huko mbele au ukasema ningejua hiki na hiki, (i) Ukienda kusoma...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata kazi kupitia JF

    [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
  3. C

    JamiiForums Tanzania Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

    We unaandika kwa kuendeshwa na chuki binafsi kwa Magufuli with very poor analysis. We hata haujui chanzo cha kushuka uzalishaji wa sukari kwenye viwanda vyetu ni mashamba ya miwa kujaa maji kutokana na mvua za elnino za juzi. Hapo serikali ya awamu ya 5 inahusikaje?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika: Niko njia panda, kila maamuzi ninayotaka kufanya naona yana athari

    Kwa mtizamo wangu wewe ndio unakuza tatizo sababu mwanamke inaonekana anakutawala na anajua hauwezi kumuacha ndio maana anakuonesha dharau na kukujibu anavyotaka. Katika maisha kipaumbele cha kwanza inatakiwa kuwa furaha na amani kwako kabla ya mtu mwingine. Kukaa kwenye ndoa ya aina hiyo ni...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

    What are you offering? Unafikiria tu kupewa hiki na hiki We unatoa nini ili ustahili vyote unavyotaka?
  6. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Katiba ya ovyo imetuletea Rais wa ovyo asiye na uchungu kwa raia wake wala rasilimali za nchi

    Lissu huyohuyo si ndio alikuwa anazunguka ana mponda Magufuli?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

    Husi tumie sample ya familia moja ku generalize kuwa watu wote wa kanda ya ziwa wako hivyo.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Niko hai sababu ya mtoto wangu

    Pole sana, Mungu akupe faraja kwa unayoyapitia
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kupata msaada juu ya matatizo ya kiakili....

    Waone wana saikolojia
Back
Top Bottom