Mbona matusi tena mzee...!
Kwani mimi nimesema uyo "financier" anafaa?
Comment yako inadhihirisha mambo kadhaa 1/ uwezo mdogo ulio nao kwenye mijadala, 2/ umahiri wako wa kupenda kumshambulia mtu badala ya hoja.
Usikubali watu wakaufaham udhaifu wako kirahisi namna hiyo.
Ubora wa vipindi hakuna,
Creativity zero,
Ubora wa picha mdogo sana,
Watangazaji .......
Vipindi vya kuvutia hakuna.
Sasa unajiuliza "kiukweli kabisa" unaangalia nini TBC??
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu wa shirika la posta anataka tujidanganye kwamba shilingi ina nguvu kuliko dollar, Wakat hali halisi tunaifaham(na yeye pia anaifaham) kwa kisingizio tuu cha uzalendo??
Huu utakua ni uzalendo wa "kijinga".
Nadhani uzalendo wa kweli ni kuifanya shilingi yetu ikue iwe na nguvu against hizo...
Haya yote yangeweza kudhibitiwa na sheria madhubuti.
Mfano, sheria ingependekeza uwiano mzuri kazini kati ya wageni na watanzania (ambao watatakiwa wengi >80%), sheria/serikali kuhakikisha wananchi wake wanalipwa vizuri.
Nadhani makampuni binafsi wangekubaliana na haya kwanza kabla ya kuanzisha...
Such a well organized respond from the top member of the opposition.. hii ndo kauli inayoonyesha kukomaa kisiasa, na sio wale wengine wanaotukana bila ya kujua wanajichafua wenyewe kwa kuonekana kama watu wasiokua na msimamo, malengo wala muelekeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jengo linalokodishwa ni jengo lao la zamani, baada ya kujenga jipya (ambapo ndipo walipohamishia shughuli zao kwa sasa) wameona walikodishe lile la zamani. Kuna ubaya gani katika hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vyama kazi yao kubwa ni kukusanya fedha kitoka kwa wanachama wao kwa ajili kununulia tisheti za mei mosi tuu, hilo ndo wanalolimudu.
Wamelidhihirisha hili hasa baada ya kushindwa kuwasemea na kuwatetea wanachama wao pale inapowabidi kufanya hivyo.
Sasa mbona bandiko lako tayari limeshaegemea kwamba waraka wa EU ni uongo na mahiga ni mkweli.
Yepi maoni yako kwenye hili, unadhani nani muongo kati ya EU na mahiga (Just draw your final conclusion directly, usizunguke zunguke saaaana)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.