Uchambuzi mfupi kuhusu serikali kupanga viwango vya fedha ya ndani dhidi ya fedha za kigeni

Abdul Nondo

Verified Member
Oct 28, 2016
312
1,000
Exchange rate nini ?
ununuzi au ubadilishaji thamani ya sarafu au fedha ya nchi moja dhidi ya fedha ya nchi nyingine.

Mwanzo walikuwa wanatumia ujazo wa dhahabu (ounce of Gold) katika kupima thamani ya sarafu ya nchi mbalimbali.

Ila mwaka 1994 katika mkutano wa brettonwood au makubaliano ya Brettonwood kupima thamani na kiwango cha sarafu zote nchi mbalimbali dhidi ya dola ya Marekani.Sababu kubwa ni dola ya marekani kuwa na sarafu yenye reserves kubwa katika mabenki mengi duniani.(Dollor termed as the huge world reserves).

Siku kadhaa shilingi yetu imeonekana kuporomoka thamani dhidi ya dola ya kimarekani shilingi yetu kufikia 2420 dhidi ya dola 1 ya kimarekani.

Kuna njia mbili za kutathimini bei au thamani ya sarafu ya nchi fulani dhidi ya dola. 1)Free floating exchange rate na Fixed exchange rate au pegged exchange rate.

1.Inaitwa Free floating exchange rate .

Hii ni hali ya thamani au bei ya sarafu inakuwa determined na soko la wazi (open market/Forex Market) kupitia Demand and supply ya sarafu ya nje .(Foreign currency).Mfano,Kama hitaji (Demand) ya sarafu ya kigeni ni kubwa ,thamani (Value) ya sarafu hiyo inaongezeka,na Kama hitaji la sarafu za nje hizo zipo chini (yaani kuna high supply) thamani (Value) ya sarafu hizo zitapungua.

Hii ndio kanuni inayosababisha sarafu yetu ya ndani kushuka thamani ,kanuni hii inaaminiwa sana na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Zuberi Kabwe, Mkurugenzi wa Sera na tafiti za uchumi wa BOT Dr.Suleiman Misango,na Mbunge wa Mtama ,Mh.Nappe nauye ambao wote hawa wamewahi zungumzia suala hili.Na wameonesha kuamini katika Free floating exchange rate.

Zitto Kabwe aliwahi sema mnamo tarehe 25/February/2019,kuwa tatizo ni ukosefu wa fedha za kigeni ambazo husababishwa na kutopata misada,kutopata fedha za kigeni za korosho.

Pia Mh.Nape Nauye katika kundi moja la whaatsp liitwalo "Tanzania 2015 and
Beyond" alisema

"Sababu za ndani, ambazo zimepelekea kuadimika kwa Dola ya Marekani na hivyo kupunguza *thamani* ya fedha yetu ni pamoja na :-
1. Kushuka/ kuanguka kwa mauzo ya mazao ya biashara Nje ya nchi hasa Korosho ambayo mwaka jana iliongoza kwa kutuongizia fedha za kigeni
2. Kuyumba kwa shughuli za utalii nchini , ambazo zilikuwa zinatuingizia fedha nyingi za kigeni
3. Kuzuiawa kwa muda kwa fedha za misaada kutoka nje
4. Kuyumba kwa sekta ya madini nchini
Nk " alisema Nappe .

Mkurugenzi Sera za uchumi na tafiti BOT ,Dr.Suleiman Misango ,tarehe 22/Feb/2019.

"Alisema suala la kuimarika kwa dola dhidi ya shillingi ni suala la mpito tuu ,naye alitoa sababu ya uhaba wa fedha za kigeni kutokana na mauzo ya mazao pamba na korosho,akasema dola ipo ghali sababu wawekezaji wengi sasa wapo Marekani,hivyo kupanda thamani yake ,akamalizia kusema sasa serikali imeita wanunuzi wa korosho ,wanunuzi watakuja hivi karibuni tutapata mauzo ya korosho na zingine kwa ajili ya miradi ya maendeleo akasema hizi sababu ni za kimsimu ,mauzo ya mazao yakiwa mazuri hali itakuwa nzuri zaidi" Alisema Dr.Suleiman

hii ni kanuni ya ( Demand and supply).kuna hitaji kubwa la dola hivyo thamani yake imeongezeka dhidi ya shillingi.Na kwa njia hii thamani ya shillingi iliyoporomoka inaweza kuimarika kwa njia ya kufanya utatuzi wa mambo ya nayo pelekea upatikanaji wa Dola au fedha za kigeni kuwa hafifu,thamani ya shillingi dhidi ya dola ita jirekebisha (Self-correcting/ Automatically be corrected).

2. Fixed Exchange rates/Pegged rates.

Hii ni pale serikali yenyewe kupitia Benki kuu (Central benki).huweka kiwango cha ununuzi /thamani ya fedha ya ndani dhidi ya fedha ya nje ,kama Dola,Euro au Yen .

Serikali itauza na kununua kwa thamani ambayo ime fix /Peg dhidi ya fedha ya kigeni.

Yaani maana yake serikali itapanga tena thamani au viwangi vya sarafu (Revalue) kinyume na viwango au thamani rasmi.

Njia hii imetokewa kuaminiwa sana na kupendwa na Mtendaji Mkuu Shirika la posta Bw. Hassan Mwang'ombe ,kupitia vyombo vya habari ,akisema.

"Serikali ina mfumo wake wa kuainisha bei zake".

" watu watafuata rate ambazo serikali itakuwa inazitoa "

"Mtu anaona shilingi haina thamani ,tunaona thamani ipo kwenye hela ya wenzetu "

"Hela yako unaiona sio hela,hela ya mtu mwingine ndio hela".

Ukisoma haya maneno au ukamsikia mtendaji ,shirika la posta .Utaona kuna dhana fulani kwa fikra zangu.

# kana kwamba watanzania sio wazalendo kwa kuthamini shilingi yao.

#kana Kwamba shilingi yetu inahujumiwa na wazungu (Mabeberu).

Kama serikali itaanza kupanga viwango vya fedha /thamani itakuwa inafanya Fixed Exchange rates/pegged exchange rates(PEG).

PEG hii ina athari kadhaa katika uchumi ,moja ya athari yake ni rahisi sana kupelekea " Wrong value"/ thamani/kiwango potofu " hii mara nyingi husababisha serikali kuipa thamani kubwa fedha ya ndani dhidi ya fedha ya nje (Make high Value of local currency against foreign currency). OVERVALUED LOCAL CURRENCY ,pia mara nyingi Peg huwa ni ngumu sana kwa serikali ku maintain., Sababu mara zote huwa ina hitaji serikali kuwa na kiwango kikubwa cha akiba ya fedha za kigeni (Foreign currencies reserves) ili kusaidia ku-Maintain viwango.

Pia hii itapelekea serikali kuzuiwa na IMF /WD kuendelea kuweka viwango vya fedha ya ndani dhidi ya fedha ya nchi kupitia njia ya Fixed/Pegged Exchange rates.

Mwisho serikali itapewa masharti ya kushusha thamani fedha yake ya ndani dhidi ya fedha ya nje.(Government must be forced to devalue).

Hii ilitokea nchi kama Mexico 1995,Asia 1997,Russia 1987 ambapo zilipigwa na mtikisiko wa kifedha (Financial crisis,).Mexico ililazimishwa kushusha Pesso yake kwa 30%.

Fixed Exchange rates huwa inatumiwa kwa nchi ambazo zinalengo la kuepukana na mtikisiko wa kiuchumi (Inflation),ila sababu za Shirika la posta ni kuwa kwanini tunathamini fedha ya mwingine.

Maswali ya kujiuliza.

1.Kwanini haya mabadiliko ya Fixed/Pegged Exchange rate hayatangazwa na BOT?

2.Kwanini Mkurugenzi wa Sera za uchumi na tafiti BOT ,Dr.Suleiman Misango ,juzi tuu tarehe 22/February/2019 alionesha kukubali Free floating exchange na akasema hadi machi hali itakaa sawa ,vipi tena leo tumehama kwenda ktk mfumi mwingine wa Fixed/Pegged exchange rates?

Shukrani.

Abdul Nondo.

abdulnondo10@gmail.com.shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uwemba1

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
991
1,000
Ni pale tunapoanzisha Aina ya uchumi wa Kitanzania, just kama ilivyo katika Demokrasia ya Kitanzania (ujenzi wa reli, Stiglers Hydroelectric plant, ununuzi wa Ndege etc) au Uzalendo wa Kitanzania wa wote kuwa wanachama wa CCM na kukubaliana na yooooote viongozi wanayofanya na kuamua hadi unayodhani ni ya hovyo
 
kimu mazengo

JF-Expert Member
Sep 30, 2018
909
1,000
Anguko la stock exchange ni verification ya shiling kushuka thamani.
Bot wamekili wenyewe kuwa tunathamini fedha za kigeni kuliko shiling yetu ndo maana kuna baadhi ya takwimu benku kuu Tz haziwekiwazi .
Waziri wa fedha hajawahi kuzungumza openly kuwa fedha imeshuka thamani badala yake anasema uchumi unakua kwa kasi .
Kama shiling yetu inashuka thamani inakuwaje uchumi unakua?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
misasa

JF-Expert Member
Feb 5, 2014
10,748
2,000
Ni pale tunapoanzisha Aina ya uchumi wa Kitanzania, just kama ilivyo katika Demokrasia ya Kitanzania (ujenzi wa reli, Stiglers Hydroelectric plant, ununuzi wa Ndege etc) au Uzalendo wa Kitanzania wa wote kuwa wanachama wa CCM na kukubaliana na yooooote viongozi wanayofanya na kuamua hadi unayodhani ni ya hovyo
Mleta uzi kataja ccm au chadema?

Kama uzi umekizidi kimo pita tu uwezi kuonekana mjinga mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
12,907
2,000
Exchange rate nini ?
ununuzi au ubadilishaji thamani ya sarafu au fedha ya nchi moja dhidi ya fedha ya nchi nyingine.

Mwanzo walikuwa wanatumia ujazo wa dhahabu (ounce of Gold) katika kupima thamani ya sarafu ya nchi mbalimbali.

Ila mwaka 1994 katika mkutano wa brettonwood au makubaliano ya Brettonwood kupima thamani na kiwango cha sarafu zote nchi mbalimbali dhidi ya dola ya Marekani.Sababu kubwa ni dola ya marekani kuwa na sarafu yenye reserves kubwa katika mabenki mengi duniani.(Dollor termed as the huge world reserves).

Siku kadhaa shilingi yetu imeonekana kuporomoka thamani dhidi ya dola ya kimarekani shilingi yetu kufikia 2420 dhidi ya dola 1 ya kimarekani.

Kuna njia mbili za kutathimini bei au thamani ya sarafu ya nchi fulani dhidi ya dola. 1)Free floating exchange rate na Fixed exchange rate au pegged exchange rate.

1.Inaitwa Free floating exchange rate .

Hii ni hali ya thamani au bei ya sarafu inakuwa determined na soko la wazi (open market/Forex Market) kupitia Demand and supply ya sarafu ya nje .(Foreign currency).Mfano,Kama hitaji (Demand) ya sarafu ya kigeni ni kubwa ,thamani (Value) ya sarafu hiyo inaongezeka,na Kama hitaji la sarafu za nje hizo zipo chini (yaani kuna high supply) thamani (Value) ya sarafu hizo zitapungua.

Hii ndio kanuni inayosababisha sarafu yetu ya ndani kushuka thamani ,kanuni hii inaaminiwa sana na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Zuberi Kabwe, Mkurugenzi wa Sera na tafiti za uchumi wa BOT Dr.Suleiman Misango,na Mbunge wa Mtama ,Mh.Nappe nauye ambao wote hawa wamewahi zungumzia suala hili.Na wameonesha kuamini katika Free floating exchange rate.

Zitto Kabwe aliwahi sema mnamo tarehe 25/February/2019,kuwa tatizo ni ukosefu wa fedha za kigeni ambazo husababishwa na kutopata misada,kutopata fedha za kigeni za korosho.

Pia Mh.Nape Nauye katika kundi moja la whaatsp liitwalo "Tanzania 2015 and
Beyond" alisema

"Sababu za ndani, ambazo zimepelekea kuadimika kwa Dola ya Marekani na hivyo kupunguza *thamani* ya fedha yetu ni pamoja na :-
1. Kushuka/ kuanguka kwa mauzo ya mazao ya biashara Nje ya nchi hasa Korosho ambayo mwaka jana iliongoza kwa kutuongizia fedha za kigeni
2. Kuyumba kwa shughuli za utalii nchini , ambazo zilikuwa zinatuingizia fedha nyingi za kigeni
3. Kuzuiawa kwa muda kwa fedha za misaada kutoka nje
4. Kuyumba kwa sekta ya madini nchini
Nk " alisema Nappe .

Mkurugenzi Sera za uchumi na tafiti BOT ,Dr.Suleiman Misango ,tarehe 22/Feb/2019.

"Alisema suala la kuimarika kwa dola dhidi ya shillingi ni suala la mpito tuu ,naye alitoa sababu ya uhaba wa fedha za kigeni kutokana na mauzo ya mazao pamba na korosho,akasema dola ipo ghali sababu wawekezaji wengi sasa wapo Marekani,hivyo kupanda thamani yake ,akamalizia kusema sasa serikali imeita wanunuzi wa korosho ,wanunuzi watakuja hivi karibuni tutapata mauzo ya korosho na zingine kwa ajili ya miradi ya maendeleo akasema hizi sababu ni za kimsimu ,mauzo ya mazao yakiwa mazuri hali itakuwa nzuri zaidi" Alisema Dr.Suleiman

hii ni kanuni ya ( Demand and supply).kuna hitaji kubwa la dola hivyo thamani yake imeongezeka dhidi ya shillingi.Na kwa njia hii thamani ya shillingi iliyoporomoka inaweza kuimarika kwa njia ya kufanya utatuzi wa mambo ya nayo pelekea upatikanaji wa Dola au fedha za kigeni kuwa hafifu,thamani ya shillingi dhidi ya dola ita jirekebisha (Self-correcting/ Automatically be corrected).

2. Fixed Exchange rates/Pegged rates.

Hii ni pale serikali yenyewe kupitia Benki kuu (Central benki).huweka kiwango cha ununuzi /thamani ya fedha ya ndani dhidi ya fedha ya nje ,kama Dola,Euro au Yen .

Serikali itauza na kununua kwa thamani ambayo ime fix /Peg dhidi ya fedha ya kigeni.

Yaani maana yake serikali itapanga tena thamani au viwangi vya sarafu (Revalue) kinyume na viwango au thamani rasmi.

Njia hii imetokewa kuaminiwa sana na kupendwa na Mtendaji Mkuu Shirika la posta Bw. Hassan Mwang'ombe ,kupitia vyombo vya habari ,akisema.

"Serikali ina mfumo wake wa kuainisha bei zake".

" watu watafuata rate ambazo serikali itakuwa inazitoa "

"Mtu anaona shilingi haina thamani ,tunaona thamani ipo kwenye hela ya wenzetu "

"Hela yako unaiona sio hela,hela ya mtu mwingine ndio hela".

Ukisoma haya maneno au ukamsikia mtendaji ,shirika la posta .Utaona kuna dhana fulani kwa fikra zangu.

# kana kwamba watanzania sio wazalendo kwa kuthamini shilingi yao.

#kana Kwamba shilingi yetu inahujumiwa na wazungu (Mabeberu).

Kama serikali itaanza kupanga viwango vya fedha /thamani itakuwa inafanya Fixed Exchange rates/pegged exchange rates(PEG).

PEG hii ina athari kadhaa katika uchumi ,moja ya athari yake ni rahisi sana kupelekea " Wrong value"/ thamani/kiwango potofu " hii mara nyingi husababisha serikali kuipa thamani kubwa fedha ya ndani dhidi ya fedha ya nje (Make high Value of local currency against foreign currency). OVERVALUED LOCAL CURRENCY ,pia mara nyingi Peg huwa ni ngumu sana kwa serikali ku maintain., Sababu mara zote huwa ina hitaji serikali kuwa na kiwango kikubwa cha akiba ya fedha za kigeni (Foreign currencies reserves) ili kusaidia ku-Maintain viwango.

Pia hii itapelekea serikali kuzuiwa na IMF /WD kuendelea kuweka viwango vya fedha ya ndani dhidi ya fedha ya nchi kupitia njia ya Fixed/Pegged Exchange rates.

Mwisho serikali itapewa masharti ya kushusha thamani fedha yake ya ndani dhidi ya fedha ya nje.(Government must be forced to devalue).

Hii ilitokea nchi kama Mexico 1995,Asia 1997,Russia 1987 ambapo zilipigwa na mtikisiko wa kifedha (Financial crisis,).Mexico ililazimishwa kushusha Pesso yake kwa 30%.

Fixed Exchange rates huwa inatumiwa kwa nchi ambazo zinalengo la kuepukana na mtikisiko wa kiuchumi (Inflation),ila sababu za Shirika la posta ni kuwa kwanini tunathamini fedha ya mwingine.

Maswali ya kujiuliza.

1.Kwanini haya mabadiliko ya Fixed/Pegged Exchange rate hayatangazwa na BOT?

2.Kwanini Mkurugenzi wa Sera za uchumi na tafiti BOT ,Dr.Suleiman Misango ,juzi tuu tarehe 22/February/2019 alionesha kukubali Free floating exchange na akasema hadi machi hali itakaa sawa ,vipi tena leo tumehama kwenda ktk mfumi mwingine wa Fixed/Pegged exchange rates?

Shukrani.

Abdul Nondo.

abdulnondo10@gmail.com.shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa Elimu hii bwana Nondo, umetema Nondo za Ukweli
 
capitano911

Member
Jun 11, 2015
36
95

Huyu wa shirika la posta anataka tujidanganye kwamba shilingi ina nguvu kuliko dollar, Wakat hali halisi tunaifaham(na yeye pia anaifaham) kwa kisingizio tuu cha uzalendo??
Huu utakua ni uzalendo wa "kijinga".
Nadhani uzalendo wa kweli ni kuifanya shilingi yetu ikue iwe na nguvu against hizo foreign currency kwa kutumia njia sahihi za kukuza uchumi na kuimarisha shilingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom