Recent content by capernaum

  1. C

    Mbunge wa CCM wa Jimbo lililoko shule hii ,ninaomba Kamati Kuu ya CCM Taifa isimpitishe kugombea ubunge 2025-2030

    Kwamba hiyo shule mahali iliko hakuna viongozi wa kata, tarafa, wilaya na mkoa?! Kwamba mbunge ndie ana mafungu ya pesa za maendeleo za eneo husika na aligoma kupeleka pesa kwenda kwenye hiyo shule? Kwamba mbunge akiongea au kuchangia bajeti kwa maandishi bungeni na kuiambia serikali kuhusu...
  2. C

    A wife is needed

    Haya haya wadau, nimerudi sokoni. Mwenye vigezo vyake aje PM tuyajenge. Upweke unaua.
  3. C

    Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

    Mkuu unawaza ngono tu. Mahusiano sio ngono peke yake. Lakini hata hiyo pia niko vizuri sana.
  4. C

    Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

    Ahsante mkuu. Kwa kweli hakuna kitu kigumu Duniani kama mapenzi.
  5. C

    Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

    kwanini iwe nikikosa kabisa, mbona unajiweka last option hivyo kuna shida gani?!
  6. C

    Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

    Hbr wana JF, Mwaka jana nilipata binti mmoja ambae tulifahamiana kwa muda kidogo tukaanza mahusiano. Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji. Nilijifunza kwenye mahusiano yangu ya awali, nikasema huyu nifanye tofauti sasa na mimi niwe na familia. Mwanzo mapenzi yalikua...
  7. C

    Fortunatus Buyobe ni nani na anapata wapi taarifa nyeti?

    https://www.nyaraka.go.tz/ Kila mtu anaweza kwenda na kupewa taarifa zozote ambazo sio top secret au zile zilikua top secret ila muda umeisha na ziko huru kusomwa.
  8. C

    Fortunatus Buyobe ni nani na anapata wapi taarifa nyeti?

    Atakua anakwenda kusoma pale ofisi ya Nyaraka. Taarifa nyingi tu zipo pale sema wabongo hatupendi kusoma.
  9. C

    A wife is needed

    Natafuta binti mrembo aliye tayari kuwa mke tufanye maisha. Nina miaka 36, mkristo, mrefu wa wastani, sio mnene, sina mtoto, elimu ya chuo kikuu na situmii kilevi. Nimeajiriwa na ninajishughulisha na biashara kadhaa. Binti naemtafuta: Asiwe mnene, asizidi miaka 30, asiwe na mtoto, elimu ya...
Back
Top Bottom