Recent content by cany

  1. cany

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    Kafeli zaidi ya bashite mwenyewe
  2. cany

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani Kisutu: Kesi 2 dhidi ya Maxence Melo zatajwa na kuahirishwa hadi 26 Januari 2017

    Wakati wakifanya hayo wakimbuke nchi inakabiliwa na ukame
  3. cany

    JamiiForums Tanzania Dah hii picha imeniumiza sana nimeshindwa kujizuia, nimeumia sana

    Duh pole san br
  4. cany

    JamiiForums Tanzania Rihanna, Mama hata kama ni 'Maphoto' si kwa mwendo huu!

    Hkna kitu hapo
  5. cany

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nishaurini madhara ya kuoa mwanamke alie na mtoto

    Kama tatz nikummisi baba watoto na wew zaa mtoto hapo ngoma droo
  6. cany

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Abdul Van Mohamed wa BBC: Je, ukweli ni upi?

    Kwann hatujiamn hta bongo kuna mshahara mzr
  7. cany

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simuelewi mwanaume huyu

    Nafikir mkioana itakuwa poa maana hz bili za umeme na maji na vyakula itakuwa sehem ya bajeti yenu kuliko sasa kila mtu na bajeti yakr mimi nakushauli mioane tu
  8. cany

    JamiiForums Tanzania Mutungi, Maalim Seif hajawahi kushindwa na wasaliti

    Hili la lipumba na cuf na wote mi mtazmaji tu
  9. cany

    JamiiForums Tanzania Raha ya mapinduzi ufanikiwe. Nini hatma ya Mtatiro, Seif na wengine!

    Kimsingi acha upinzani ufe maana hakuna namna na hii ndiobsabab wakati watanzania wanaibuka na kuwaamni wenyew wanajikologa wenyew kwajinsi hii ikulu itabakia story na kelele majukwaani binafsi nilimwamini sana lipumba lkn katika hili its over kurudi ofcn kwako kwa jinsi ile kweli pale kuna ofc...
  10. cany

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume atakaenioa kwa ndoa ya kanisani

    Ndoa sio matangazo dada tulia atakuj uliyepangiwa
  11. cany

    JamiiForums Tanzania NMB mmezidi kuwa wezi kwa wateja wenu

    Aisee mi mwemyewe nshaumizwa sana mwanzo nlkuwa cjui km wanapiga
  12. cany

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi huu October 2015, Ni Mahakama ya Kadhi V/S CCM. (Tutaona nani Mshindi).

    Kaka hata sikuungi mkono kwamba mlimchagua kikwete ili apitishe mahakama ya kadhi sasa amegoma sasa mnatafut mwingne hii sio sahihi chagua kiongoz bor nasio wakupitisha mamb yenu lkn pia km mwenzenu kawagomea hamuoni km yawezekana jambo hili hakuwezekani nawashauri mjipange wenyewe km alivyosema...
  13. cany

    JamiiForums Tanzania Afande Sele kufata nyayo za Mzalendo Zitto, kukataa posho akiwa mbunge

    May b anaweza kuwa mkwel kwasababu wengi wanadanga ya
Back
Top Bottom