Recent content by cantilevered

  1. C

    Wala bata wa JF

    Jamaa umezingua sana kuzileta hizo picha huku jf hata Kama umeficha sura zetu, ila next time hatuwezi kukaa na wewe kupiga Monde hizi pigo za kishamba yaani unalialia kiasi hiki, mkuu umezingua sana aiseee Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    Huwa unatumia kiasi gani cha pesa kwa siku?

    Nyie jamaa mnaotumia chini ya elfu 50 kwa cku mnasubiri nn kuingia kwenye orodha ya matajiri Tanzania ?? Daaaah Supu asubuhi + maji =6000/ Mchana (lunch) = 6000/ Jioni 5000/ Gambe na washkaji = 80,000/ Bado Malaya ahongwe Aiseeee hebu tuachene na hizi hesabu tunaweza katishana tamaa bure...
  3. C

    Kwanini hatutengenezi barabara za zege tunakomaa na lami?

    Kwa kifupi ujenzi wa barabara ya zege ni gharama sana ukilinganisha na hizi za lami tunazojenga hapa bongo, yaani Kwa haraka haraka 5km za zege unaweza jenga 10km hadi 15km za lami yetu hii inayoweza kuishi miaka 10 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    Yu wapi Matiku Joseph Matare kiongozi wa mgomo mkubwa kuwahi kutokea pale UDSM miaka ya 1989

    Elfu 7000/ uliyolipwa ikiisha hutakua na cha kuandika Kama alifanya ujinga kwa nn asitukanwe yy ni Nani ??? Ogopa kwenda kutafuta suluhu kwa wanachuo wenye akili timamu Kama Matiku Matare wakati hujajipanga sio hawa unga wa ngano wa Sasa wasaliti wakubwa warembo na pengine misukule ya lumumba...
  5. C

    Yu wapi Matiku Joseph Matare kiongozi wa mgomo mkubwa kuwahi kutokea pale UDSM miaka ya 1989

    Matiku J Matare anatajwa kuwa kiongozi wa mgomo mkubwa kabisa kuwahi kutokea pale Chuo Kikuu cha Dar er Salaam (UDSM). Huyu mwamba anatajwa kuhusika katika kuanzisha mgomo uliopelekea chuo hicho kufungwa miaka ya 1989, Matiku Matare anatajwa kuwa kiongozi jasiri na mwenye kujiamini sana enzi...
  6. C

    Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(DARUSO) waomba radhi

    Haya matoto ni majinga sana pumbavu zao Ndugu yangu Matiku Matare ulieanzisha mgomo udsm mika ya 80+ na kupelekea chuo kufungwa lkn pia ilimchana makavu muheshimiwa mwinyi na kumtukana hadharani Hongera sana kwa ujasiri huo na popote ulipo Mungu akutangulie wewe ni mfano wa kuigwa leo udsm...
  7. C

    Mtu mwenye degree anapoenda kujifunza kazi ya waliokosa Elimu ni ujumbe gani tunapata kuhusu Elimu yetu?

    Mkuu acha Jamaa apambane aiseee Mm na degree yangu ya civil engineering first class Niko hapa maeneo ya mwenge nauza supu ya pweza yenye Viagra maisha ni kujiongeza aiseee Sent using Jamii Forums mobile app
  8. C

    Ukweli uliofichwa sasa umefunuliwa, ni kuhusu T. B Joshua

    Ukiona thread yako ina masaa 16 na unawachangiaji zaidi ya 300 jua kua huna tofauti na huyu unae mchafua bwana TB Joshua, hivi ndivyo walivyo mkuu hata wewe kesho ukianza kama TB Joshua kwa kuwaaminisha kuhusu mikojo yako kua ni upako watakuja kama mvua Sent using Jamii Forums mobile app
  9. C

    Karibuni wadau tupeane kampani. Msijitenge sana

    Kiduku lilo,, nashukuru kwa makaribisho yako mazuri, hakika upo vzr aiseee niseme tu kwamba ile FRIJI niliyoiona pale kwako cjawahi kuiona sehemu nyingine Ila mkuu kile kinywaji nilichochukua ambacho ulisema umekinunua tsh 2,800,000/= bado cjakimaliza najipigia mdogo mdogo nikitoka kwenye...
  10. C

    Serikali haitambui adha ya gharama kubwa ya chakula kwa wasafiri wa mabasi?

    You are, one of the great thinkers kama mm hongera sana mkuu
  11. C

    Habari za sa hizi?!

    TRA ni mamlaka shirika ni kama tanesco TBS alafu Kuna wakala mfano tanroads Ila TRA hawana mishahara mikubwa kama ulivyoonyesha kwenye post yako zaidi wanaongoza kwa rushwa na ubadilifu Karibu sana
  12. C

    Pombe ilichonifanyia: Ndoto zimeyeyuka nahisi ‘nimeukwaa umeme’, nina hofu huenda nisiishuhudie Tanzania ya Viwanda

    Acha uoga baharia. Unavunja sheria namba 13 ya mabaharia hakuna kitu kigumu kama kupata UKIMWI. Kuna jamaa alimuelewa dada poa mmoja akaamua kumuweka ndani na akaishi nae miaka miwili demu anatumia pumba (ARV) bila mshkaji kujua baada ya miaka miwili ndo jamaa anagundua ikabidi akapime kwa hofu...
Back
Top Bottom