Habari za sa hizi?!

beberu777

Senior Member
Feb 28, 2017
198
200
HIVI NI SHIRIKA GANI HAPA NYUMBANI LINAONGOZA KWA MSHAARA MNENE HAPA TAZANIA UKIONDOA TRA.
 
TRA ni mamlaka shirika ni kama tanesco TBS alafu Kuna wakala mfano tanroads
Ila TRA hawana mishahara mikubwa kama ulivyoonyesha kwenye post yako zaidi wanaongoza kwa rushwa na ubadilifu
Karibu sana
 
Shirika la LERI/RELI mpaka sasa linaongoza, linafuatiwa na shirika la IKURU/IKULU
 
Back
Top Bottom