Recent content by Cantalisia

 1. Cantalisia

  TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

  Pumzika kwa Aman rafiki yetu,Sisi wote wa Mungu na kwake tutarejea🙏
 2. Cantalisia

  TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

  Pole sana PakaJimmy kwa kupoteza mtoto,Mwenyezi Mungu awatie nguvu ww pamoja na familia yako,tuko pamoja katika hili,pumzika kwa aman bint yetu Praise.
 3. Cantalisia

  TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

  Pole sana PakaJimmy kwa kupoteza mtoto,Mwenyezi Mungu awatie nguvu ww pamoja Nna familia yako,tuko pamoja katika hili,pumzika kwa aman bint yetu Praise.
 4. Cantalisia

  Sitaki dawa

  Bonge la story sio siri mungu kakujalia kipaji cha uandishi mkuu
 5. Cantalisia

  Mwajiri wa Regional Air akimbia wafanyakazi

  Saaingine Hawa waajiri cjui wanatuonaje Yaan wanakurupuka tu hata hawajali maisha ya wafanyakazi wao,hapa ndiko wafanyakazi wanapotakiwa kushikamana na kuwa kitu kimoja kushinikiza mamlaka husika kuchukua hatua. Polen sn wakuu.
 6. Cantalisia

  Tanzia: Member mwenzetu Marejesho amefiwa na mdogo wake wa Kiume

  Pole sn marejesho mungu akutie nguvu,na amlaze ndugu yetu kwa aman
 7. Cantalisia

  HARUSI YA YNNAH 06:12:2013. Imevunja RECORD MKOA WA ARUSHA.

  Hongera sn swaiba nawatakia maisha mema na yenye furaha tele!!
 8. Cantalisia

  Nisaidieni jinsi ya kuanzisha thread

  Nipo nimejaa tele,za kuadimika aisee! Rejao wangu hajambo kbs mzima afya lol
 9. Cantalisia

  JF Get Together Party sasa kufanyika Jumamosi Tarehe 25 Januari 2014…!!!!!

  Nina uhakika hawezi badili mawazo bana. Cc Husninyo
 10. Cantalisia

  Nisaidieni jinsi ya kuanzisha thread

  Sio kweli Mphamvu labda km ulikuja kinyemela lkn ukitujulisha wing yetu tunapenda wageni bana wala hatuwakiimbii bana
 11. Cantalisia

  JF Get Together Party sasa kufanyika Jumamosi Tarehe 25 Januari 2014…!!!!!

  Katavi usiogope bana ni taarifa tu nimeiona coz sikujua km ushaona tatizo hujanialika kaka
 12. Cantalisia

  Asanteni Crew nzima ya wana Arusha-Wing....narejea Dar.

  Karibu tena Madam B km kawaida yetu tunapenda wageni
 13. Cantalisia

  Nisaidieni jinsi ya kuanzisha thread

  swaiba Mphamvu kweli uliadimika jamani karibu tena CC. BTW Nilishahama huo mji wenu just chake my location siku hizi napatika Arachuga arifu lol
Top Bottom