Recent content by canta

  1. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawafai kushika dola, viongozi wake sana ndimi mbili wanaweza kuuza nchi!

    Nchi iuzwe mara ngapi 😂
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ikibidi nitaacha Utumishi wa Umma ili niendelee kuwa huru

    Hata mimi sijaelewa mkuu
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    ***** Judge anakomaa mashahidi watajwe majina na anuani zao 😄
  4. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3. Shahidi wa 13, Tumaini Swila kuendelea kutoa ushahidi Februari 15, 2022

    Masikini Shahidi alijua jumatatu ni mbali.. mara imefika na hajamaliza slides 🤣🤣
  5. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Swila aomba ahirisho kuwa hajisikii vizuri; kuendelea na ushahidi 10/02/2022

    Huyu shahidi anaomba kwenda "washroom" kila wakati anaenda kudesa 🤣🤣
  6. C

    JamiiForums Tanzania Katika Sikukuu hii ya Watakatifu Wote tuwaombe Julius Nyerere, Benjamin Mkapa na John Magufuli waliombee taifa la Tanzania

    Mhuburi 9:5 Kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa, lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu machinga: TFF wapewe ofisi mjini, Karume pageuzwe kituo cha biashara

    Machinga wanavyobembelezwa kama mtoto wa mwalimu wa darasa 😄
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Shule ya za Sekondari Benjamin, Msingi Uhuru na Kiwanda cha Bia zihamishwe Kariakoo waachiwe wamachinga hilo eneo

    Yaani tuhamishe shule na kiwanda kuwapisha wakwepa Kodi? Waache kuiibia serikali mapato. Wakachukue leseni wafanye biashara rasmi serikali ipate Kodi. Over
  9. C

    JamiiForums Tanzania Serikali imewaibia Wamachinga?

    Kwani walikujaje? Nadhani wanaondoka kama walivyokuja
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaja na muundo mpya wa Jeshi la Polisi

    JIWE 😁😁
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kimya cha TAKUKURU na wizi wa kura.

    Sio TAKUKURU hii iliyopuuza kwa makusudi ushahidi dhahili uliowasilishwa na mbunge Nassari. Tunahitaji kubadilisha mfumo wetu (katiba) ili kuvipa vyombo vyetu uhuru wa kutekeleza wajibu wao kwa weledi bila kuingiliwa na mhimili mwingine wowote.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Lugola amtimua Kamishna Jenerali wa Magereza, Juma Malewa kwenye kikao kwa kuchelewa

    Naliona anguko lake. Kwa mwendo huu atajikuta anakosa ushirikiano wa kutosha kutoka katika vitengo vilivyo chini ya wizara yake. Ajichunge sana, sifa zitampoteza!
  13. C

    JamiiForums Tanzania Taifa linahangaika na wasiojulikana waliomshambulia Tundu Lissu! Je, ni hawa?! Mhe. Mwigulu, IGP, anzieni hapa!

    utamtofautishaje mkulu na mwenyekiti wa chama? Wakati gani anakua Rais na wakati gani anakua mwenyekiti wa chama??
Back
Top Bottom