Imezoeleka sasa karibu kila baada ya chaguzi nyingi za marudio kumalizika hufutiwa na vilio vya wizi wa kura tena tuhuma zikielekezwa kwa chama tawala na jeshi LA polisi kuwa ndio wahusika, lkn Mara zote hizo TAKUKURU wako kimya wala hatujasikia wakiingilia kati swala hili ambalo kwa kiwango kikubwa limetawaliwa narushwa ya kiwango cha juu, imefikia mahali kama wananchi tunataka kuona taasisi hii ikiingia ndani ya maeneo hayo tena bila ya kuwaonea haya wahusika.
Nijambo LA muhimu kama TAKUKURU watajipambanua kama chombo kinacho tenda haki kwa watanzania wote bila ya ubaguzi wa kuchagua maeneo kama vile tunavyo ona sasa walivyo iandama sekta ya michezo.
Tunaomba sasa TAKUKURU pindueni jicho lielekee kwenye chaguzi ambazo kwa kiasi kikubwa Taifa zima linaguswa.
Muogopeni Mungu mliapa kutenda haki , na Mwenyezi Mungu anasubiri kuona kama mlikuwa na nia ya kweli kulitumia jina lake kwenye viapo vyenu.
Mungu ibariki TAKUKURU ili iweze kuwatendea watanzania wote haki bila ya ubaguzi.