Recent content by Candy sweetie

  1. Candy sweetie

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa kutoa sadaka; Mchungaji yupo sahihi?

    Mbona kwa waganga mnapeleka pesa na hadi mbuzi za kafara?
  2. Candy sweetie

    JamiiForums Tanzania Dar: Mashehe washauri wanaomkashfu mitandaoni ‘Nabii Mkuu’, Dkt. Geor Davie wa Gurumo ya Upako, kumfata Arusha kwa nauli yao

    Mimi sio muislam😂😂 ila kwa hili tumepigwaa hapa😂😂😂😂
  3. Candy sweetie

    JamiiForums Tanzania Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

    Kwanini jamani
  4. Candy sweetie

    JamiiForums Tanzania Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

    Bora wewe ipo tarehe hiyo hiyo 27😂😂 wengine ndo tushapelekwa mbele kama ivo😂😂😂 inasikitisha sana
  5. Candy sweetie

    JamiiForums Tanzania Mkopo awamu ya pili tayari au bado

    Najisikia uchungu kuwa kwenye mabano😂😂 Ngoja tusubiri subiri watu wengine waamke ili tujue kama tayari au wote ni hivyo hivyo
  6. Candy sweetie

    JamiiForums Tanzania Mkopo awamu ya pili tayari au bado

    Kwahiyo kwa maana hiyo second batch ni tayari au ndo hiyo wameirusha mpaka tarehe 27!?
  7. Candy sweetie

    JamiiForums Tanzania Mkopo awamu ya pili tayari au bado

    Ni huzuni😂😂😂
  8. Candy sweetie

    JamiiForums Tanzania Watu wanaonishangaa kutumia GB 60 kwa mwezi (tena kwa kujibana) ni vipi wao wanatosheka na GB chini ya 10

    😂😂😂kuna watu mnakuwa wachokozi jamani 😂😂kwanini lakini ?
  9. Candy sweetie

    JamiiForums Tanzania Watu wanaonishangaa kutumia GB 60 kwa mwezi (tena kwa kujibana) ni vipi wao wanatosheka na GB chini ya 10

    Hamna si unajua wadada tunapenda tiktok Ukiwa tiktok humalizii hata saa mbs zinaisha
  10. Candy sweetie

    JamiiForums Tanzania Watu wanaonishangaa kutumia GB 60 kwa mwezi (tena kwa kujibana) ni vipi wao wanatosheka na GB chini ya 10

    Mimi hiyo gb moja hata nusu saa simalizi naambiwa nishatumia asilimia 100 ya bando😂😂 ni huzuni kwa kweli
  11. Candy sweetie

    JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa mchumba wangu kisa mahari ni ndogo

    Ndo nyie mnaokufa kwa kukosa maarifa!! Endelea kukaza hilo fuvu Leta hilo andiko linalosema wazazi kuwachaguliwa watoto wachumba
  12. Candy sweetie

    JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa mchumba wangu kisa mahari ni ndogo

    Shangaa na wewe jamani
  13. Candy sweetie

    JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa mchumba wangu kisa mahari ni ndogo

    Ni sawa ulivyosema mtoto anatakiwa kutii wazazi wake, lakini sio kila kitu unachoambiwa hata kama kitakuletea athara ni kukukubali tu. Kuna muda wazazi huwa wanatukosea sana, suala la mapenzi halitakiwi kuingiliwa kama watu wamependana waachwe sio wazazi mnaanza kuwawekea obstacles kwa kuwa...
Back
Top Bottom