TANESCO zamani nguzo za umeme hizi za milingoti zilidumu hadi miaka 20 na kuendelea kwa sababu licha ya treatment ya kuchemsha kwenye dawa, ziada ilikuwa
1. Shimo la kusimikwa nguzo kulimiminwa zege
2. Baada ya kuisimamisha nguzo ilishindiliwa kwa zege
3. Nguzo zilidumu kipindi kirefu sana...
Kama viwanja hivyo vilipimwa na kuidhinishwa na serikali kwa makazi ya watu, kwa hilo serikali inawajibika kwa kugawia wananchi viwanja vya kujenga maeneo hatarishi.
Lakini kama ujenzi ni wa holela kwa kuvamia maeneo kwa kupimiana viwanja kwa hatua za miguu ninyi kwa ninyi, serikali haitabeba...
Manispaa ya Morogoro eneo la mjini mzunguko (roundabout) ilipokuwa stand ya zamani zinapoanzia barabara za:
1. Boma Road
2. Korogwe Road
3. Old Dar es Salaam
4. Barabara iendayo Soko kuu la Kingalu na chuo cha Sokoine
Kuna mabango makubwa yamewekwa ndani ya mzunguko na hivyo kuwa kero kwa...
Mazingira ya ughaibuni yamebadilika sana na yanazidi kubadilika zaidi. Msisha magumu yapo zaidi ughaibuni na sio Afrika.
Pamoja na kwamba nchi ya Marekani ukisha ingia huwezi kusumbuliwa kwa kufuatiliwa na kuulizwa uhalali wako wa uhamiaji, shida utakayoipata ni upatikanaji wa kazi bila...
Sheria za nchi juu ya ushuru hutofautiana kadiri ya mahitaji ya nchi, nafuu kwa watumiaji wa magari na mengineyo.
Tanzania tumepata unafuu kwamba unapoinguza gari kodi ya usajiri (registration) unalilipia mara moja ni kwa maisha yote ya gari ndio maana ushuru wa magari upo juu zaidi.
Nchi...
Ningefikiria zaidi juu ya kazi ya Urais kuwa na muda wa kutulia zaidi ofisini licha ya shughuli za kila siku za Rais ofisini, hii itampa muda zaidi wa kuyapitia mambo mbalimbali yahusuyo uamuzi wa rais na mambo mbalimbali ya serikali kabla ya kutoa uamuzi.
Mambo mbalimbali ya mikataba na...
Kati ya Airports nilizoziona kwenye mabara kadhaa, KIA ni moja ya airport chache zenye eneo zuri lisilo na miinuko karibu wala utitiri wa majengo.
Mfano Airport ya Zurich huko Switzland barani Ulaya iko bondeni karibu na ziwa Zurich, full mountain ranges na ukichungulua nje mwenye moyo mchache...
Waondoe vyombo visivyofanya kazi pale uwanjani.
Kuna gari la zimamoto bovu limetelekezwa pale na bahati mbaya ni karibu na parking ya ndege za abiria.
Ile ndege mbovu ya jeshi la waarabu pia iondolewe maana pale sio mahali pa maonyesho ya junky.
KIA Airport mimepita karibuni nikitokea Doha, walishuka watalii zaidi 200.
Bahati ilikuwa asubuhi nimeweza kuona vizuri mandhari na mazingira yake, ni Airport iliyo eneo zuri na panaweza kuwezeshwa kuwa Airport ya kipekee hapa nchini kwani pana nafasi kubwa sana ya kuwezesha kujenga runways...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.