Recent content by canal wa vita

  1. C

    Waziri wa Ulinzi na Mh Raisi tusaidieni kuhusu JKT tunaadhirika vijana wenu

    Tupo vijana takriban 40 tumetokea 833 jkt tupo mtaani toka mwezi machi mwaka huu baada ya kuambiwa hatuja kidhi vgezo kujiunga na JWTZ japo hapo tunamashaka kidogo Toka mwaka 2014 tupo ndani ya jeshi na tumeshiriki mambo mengi ya kitaifa kama yafuatayo 1.ule ujenzi wa maabara tulipiga kazi usiku...
  2. C

    BUNGENI DODOMA: Majibu ya Jaffo kwa walimu wa Arts na Sayansi

    Teaching is professional undertaking.,..walilopoka tu
  3. C

    Gari la familia

    Dah kweli fasihi ni noma nahc unazungumzia ndege wewe huna lolote
  4. C

    Tabora: Wanajeshi 9 wa JWTZ, wapandishwa kizimbani kwa mauaji

    Wakati wengine tunaomba kwa Mungu usiku na mchana tupate kazi kuna watu wanachezea kazi dah hatari sana.......
  5. C

    Kwanini mambo haya hufanyika kwenye makanisa ya kiroho?

    Namaanisha hawatumii polite language kama wafanyavyo mapadri
  6. C

    Kwanini mambo haya hufanyika kwenye makanisa ya kiroho?

    Nahitaji kujua kwanini makanisa ya kilokole wanafanya vitu vifuatavyo ukilinganisha na makanisa yasiyo ya kilokole. 1. Kuongea kwa kutumia nguvu kwa wachungaji na lugha ya kukemea kama mtu mwenye hasira. 2. Kunena kwa lugha kwa wachungaji, ina maana padri hawezi? 3. Wanawake kuwa wachungaji...
  7. C

    Je, mlinzi/mpambe wa Rais akiwa nje ya majukumu yake naye huwa analindwa?

    Sa ushawah kuona mtu anakwepa risasi pia jthd kuchngza msafara wa raisi ndo utagundua jkumu la kumlinda raisi ni nani
  8. C

    Je, mlinzi/mpambe wa Rais akiwa nje ya majukumu yake naye huwa analindwa?

    Kichwa kikubwa kisicho naakili ni adhabu kwa miguu
  9. C

    Tanesco mbona mbagala mnatuonea

    Ttzo lnakuja ni upande mmoja ndio unakatika charambe majimatitu A kila wk end ndo hakuna upande wa B kila wk end unapatkana
  10. C

    Tanesco mbona mbagala mnatuonea

    Hii ni week end ya nne umeme hakuna yani kila j mo na j2 lazima umeme ukatike bila taarifa wala sababu za msingi kutolewa tunashkuru kwa mnacho tufanyia
  11. C

    Je, mlinzi/mpambe wa Rais akiwa nje ya majukumu yake naye huwa analindwa?

    1.Watu wengi hawajui yule sio mlinz wala mpambe wa rais yule nyuma ya rais anawakilisha majeshi yte na kueleza kuwa hapa mble kuna amili jeshi mkuu.2 wenye jukumu la kumlinda rais ni TIS mwisho hivi canal alindwe ili iweje kwakifp akiwa kweny majukjm ya nje ya kitengo chake anakuwa kama askari...
  12. C

    Mke wangu analia sana wakati wa tendo

    Fungulia sauti kubwa ya redio
  13. C

    Msaada kuhusu kusoma masters

    Ajira wanahtaji uzoefu pia unapo kuwa na M.A hrfu hjawah kufanya kazi inakuwa ngumu sana kwenye ushndani wa soko la ajira kuhusu kozi sio mbaya
Back
Top Bottom