Mke wangu analia sana wakati wa tendo

Mke wangu analia sana wakati wa tendo

Yaan post ya kwanza tu.... Umemlalmikia mkeo nahis ulikua na dukuduku kwel la moyoni....

sasa sikilza wewe ukiwa unapiga mambo weka eearphones halafu weka mwimbo mzuuriiii..... atalia wee mpka ataacha..
 
si uongee nae sasa ukitueleza sisi ndo atanyamaza au mambo mengine muwe mnamaliza wenyew bwana, mweleze unavyojisikia aibu muda wa kwenda kazini watu wakiwa wamekaa nje mbona atakuelewa tuu mkuu, usi- complicate mambo
 
Daaaah hebu jiulize unamuandaa vizur au unambaka?
Au huwa anatatizo la kukosa mrenda pangon maana jongoo akiingia shart mrenda utoshe kumalizia ugal wote
 
Kwani kilichokushinda kumuuliza ni nin?sisi ndio ndugu wa mkeo?siri za ndani ulizaneni wenyewe!
 
Back
Top Bottom