Recent content by Canabian Rasta

  1. Canabian Rasta

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Nikuhakikishie Mungu yupo, ila historia yake, sifa zake, makazi yake, lengo ama malengo yake kuhusu ulimwengu ndo vinaleta utata mwingi. Mimi nilishaamua kuacha blank iyo sehemu maana ata yeye hajataka iwe na majibu ndo maana karuhusu macho yangu yaone Maji ila yasione Upepo kwaiyo na deal na...
  2. Canabian Rasta

    JamiiForums Tanzania Andiko la mchekeshaji Shafii, limeniumiza sana mimi kama kijana

    Moral of a story. 1-Tunavijana wakiume hasa mkoa wa dar hawatoweza kukomaa kiakili sababu maadili ni ziro. 2-Utumiaji wa mitandao unapaswa kuwekewa sheria nzuri zaidi zinazoweza kulinda utu wa watu. 3-Jamii ya sasa imemtelekeza mtoto wa kiume na imewekeza kwenye kumtaftia kula ila malezi...
  3. Canabian Rasta

    JamiiForums Tanzania Wimbi la watu kupeleka fedha kwenye kununua Bonds, Hisa, UTT, hatifungani, fixed deposits, je ni kitu kizuri au kibaya?

    Kwa hesabu zangu za kimasikini naona iyo sio reasonable. Kwanza kwa sasa investment ya 200m inaweza kukupa return zaidi ya iyo per monthly. Pili kwa pesa yako uliyoinvest 200m kumbuka kila mwaka inazidi kushuk thaman yake. So kwa calculation zangu naona unajitengenezea loss isio kua ya ghafla.
  4. Canabian Rasta

    JamiiForums Tanzania Dots nilizounganisha kuhusu uwepo wa gaidi Abu Ubaydah Al Banshiri kwenye ajali ya MV Bukoba

    Binafsi sioni kama kuna ukweli katika ilo, hakuna sababu ya CIA kutumia iyo njia wakati wanazo njia nyingi za kijasusi, kama hoja ipo kua ni kwenye maji kwaiyo ingekua ngumu kwa target kupona mbona kuna watu walipona tena bila msaada wowote rasmi! Kama hoja ni mtu hatari na kumuua sehem...
  5. Canabian Rasta

    JamiiForums Tanzania Mikono ya Jumbe yafunguliwa pingu na Polisi ikiwa imevimba kwa kufungwa pingu Jana Baada ya kutekwa

    Niseme tu iko wazi wewe unapande wako tayari kimtizamo kabla hata ya tukio, unajaribu kujenga hoja tata kwa sababu unazozijua mwenywe..! Kusema alichubuka akiwa msituni, jirani yake yuko wapi ayo yote sio hoja maana hili swala limekithiri sana nchini...! ni kwanini likatokea na ni zaidi ya...
  6. Canabian Rasta

    JamiiForums Tanzania Kwa upande wangu siwezi KUMCHANGIA aliyefia Uturuki akifanya surgery ya urembo

    We usimchangie au umchangie maiti haina shida na mchango wako, mtu akishakufa hana kauli tena kwaiyo mliobakia ndo mtafanya maamuzi izo sio shida zake ye keshamalizana na Dunia.
  7. Canabian Rasta

    JamiiForums Tanzania Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

    Alazwe pema peponi kamanda [emoji1992]
  8. Canabian Rasta

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    [emoji1][emoji1][emoji1]
  9. Canabian Rasta

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Hongera sana mkuu, vipi imekuchukua muda gani kupata visa yake, maana nimeambiwa za canada zinachelewa kweli
  10. Canabian Rasta

    JamiiForums Tanzania Natafuta Michongo nje ya nchi

    Sawa
  11. Canabian Rasta

    JamiiForums Tanzania Natafuta Michongo nje ya nchi

    Habari WanajamiiForums, Ninahitaji wadau waliopo Dubai au China naomba kujua ajira zinazopatikana huko, deals au biashara za kufanya ukiwa uko ili kutengeneza kipato ukiwa huko huko. Pia wadau mlio Paris, Berlin, Amsterdam, London, Madrid, Instabul n.k pia ninaomba maoni yenu kuhusu kazi...
  12. Canabian Rasta

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona Msumbiji kuhusu vyakula, silaha, mavazi, ngono na mengineyo

    Umesema ulikaa siku tatu?
  13. Canabian Rasta

    JamiiForums Tanzania CAG: Wastaafu na wenza wao wanaigharimu NHIF Tsh 84.7 billion kila Mwaka Bila Wao kuchangia

    Nafikiri kuna misconception kidogo kati yako na icho alichojaribu kukieleza ndugu CAG. Kwa mawazo yangu nahisi alielezea theway watu walio nje ya mfumo usio rasmi na watu walio ndani ya mfumo rasmi, policy ya bima kwa wastaafu nadhani haiko kwenye mfumo rasmi ndani ya mfuko ndo maana inaonekana...
Back
Top Bottom