Recent content by Campana

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wapinzani kuhamia CCM ni ushamba wa kisiasa

    Kwa vile wanahama kwa mapenzi yao kwa mtu mmoja, ikitokea mtu huyo akafuatiwa na wasiemtaka, watahama kurudi wapi wakati upinzani utakuwa umeuwawa kwa kitendo chao cha sasa?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Software ya mipango ya harusi!

    Itawezesha mipango ya harusi kuwa 'one man's job'? Tunatumia muda mwingi sana kwenye kamati za maandalizi tukibishana na kunywa.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hongera Dr Slaaa

    Kama ukweni vile!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Serikali yalazimisha Watumishi kuchangia ujenzi wa madarasa

    Jimbo ya mganga wa jadi hilo - Prof Maji Marefu! Matokeo ya akili ndogo kuongoza akili kubwa
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tangu lini polisi wakatangaza matokeo ya upelelezi wa chanzo cha kuanguka kwa ndege?

    Si polisi tu walio mbumbumbu wa suala hili - bali na mwandishi mwenyewe na mhariri wake! Kwa kuchapisha habari hii ikaenda kwa public inaonesha hawajui walifanyalo. Haya ni matokeo jumla ya mfimo wetu mbovu wa elimu
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Kikwete Bukoba: Walimu na wanafunzi sekondari walazimishwa kumlaki, Shule kufungwa saa 4 asb

    Hao wa day ndani ya nguo za nyumbani wataitwa 'watu wazima', na wale wa boarding wataitwa 'wanafunzi,!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Katuni: Bunge letu na dhihaka toka Kenya

    Serukamba anam 'leka dutigite' spika wake!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lema afikishwa Mahakamani kwa makosa ya Uchochezi, aachiwa kwa dhamana!

    Du! Kesi nyepesi vile. Resources nyingi zimetumika kwa kesi ya kipuuzi namna hii? Sisiem kwisha
  9. C

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Christopher Kasanga Tumbo (RIP) - Mwanasiasa Machachari

    Na kwanini Saida Karoli aliwhi kuwaimba huyu na Kasela-Bantu?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Sakata Kibanda: CCM Mkoa Maalum watoa tamko, wamuweka pabaya Dr. Slaa!

    These are the last legs kicks of a dying dog called ccm
  11. C

    JamiiForums Tanzania Old Bagamoyo Road yabatizwa 'Mwai Kibaki Road'

    Kwa umoja wetu tunaweza kugomea hilo jina lisilo na mantiki - na kuendelea kutumia jina la awali
  12. C

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Kampala International University

    This must be a big joke
  13. C

    JamiiForums Tanzania laana yawakumba maccm meatu yatandikwa na nyuki

    Makazi ya nyuki ni kwenye magamba, hivyo walikuwa wanatetea makazi yao
  14. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP waelekea Mtwara kusaka suluhu!

    karibu 'mfalme wa nyuki'
  15. C

    JamiiForums Tanzania Pinda atuzwa-sasa ni mfalme wa nyuki Tanzania

    Walinizunguka kama nyuki (adui) - lakini walizimikaaa, kama moto wa nyikani x 2
Back
Top Bottom