Recent content by Camp 05

  1. C

    Miaka 64 ya uhuru: Watu wanakwama kwa siku 18 kisiwani bila usafiri, Hii ndiyo CCM

    Wafanye kazi yao sio kujificha nyuma ya ujanja wa Miradi ya kimkakati,kwanini ccm haitaki watu wafurahi kila Kona wanabana,wakandarasi Hadi wanakufa lipeni watu jasho lao.
  2. C

    Congo DRC, imekuwa kubwa jinga, Tanzania tusijiingize!

    Shida yetu ni kudhurumiana wenyewe kwa wenyewe,haiwezekani nifanye kazi nilipwe kiduchu. Harafu hakuna soko la bidhaa limekaa vizuri,ni Bora hao vita Iko wazi lakini sisi vita ya dhurma.inatia laana mpaka nchi imedumaa
  3. C

    Miaka 64 ya uhuru: Watu wanakwama kwa siku 18 kisiwani bila usafiri, Hii ndiyo CCM

    Mfumo wa uendeshaji siasa za uchawa umetufikisha hapa,kwa sasa umeme unakatika kwa Kasi ya ajabu kuliko hata ule wakati stiglers Gorge haijaanza kufanya kazi,wakati huu.moogoro mpaka ruaha mbuyuni Kuna mashimo yasiyo ya kawaida,majenereta yameharibika yote taasisi za umma,hakuna jambo limekaa...
  4. C

    Jeshi la Polisi Morogoro lawakamata maofisa saba wa LBL kwa tuhuma za biashara haramu ya fedha

    Kwani Hawa OYA nao unawaonaje.mkuu,hata haya makamouni ya kubahatisha yameweka makopo ya kamali kila Kona wewe unaonaje,shida njaa zetu ndo zinatutesa.Kila Kona shida tuu.
  5. C

    Jeshi la Polisi Morogoro lawakamata maofisa saba wa LBL kwa tuhuma za biashara haramu ya fedha

    Mimi niweke wazi kwa nini watu Wana chukua maamuzi magumu,kwa watumishi wa umma BOT imebariki mambo mengi ya ajabu kinyume na ILO,imagine alipoingia mwenda zake aliondoa malipo yafuatayo 1.Pesa ya likizo 2.Overtime Na nyingine nyingi,kuanzia hapo watumishi wameishi kama njiwa tunduni,hatimae...
  6. C

    Mjue Shafineyz, kijana mdogo anayemiliki kampuni ya mabasi

    Alinipiga tukio mwakajana na bastora kiunoni,kazi yake ina gharama sana.Sijui kwanini hakumalizia kazi yangu.
  7. C

    Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    Lea wanao,nadhani huo ni msalaba wako, Kuliwa analiwa ila watoto wakiwa alone unatengeneza bomu jingine.Watakuchukia sababu mama yao anaendelea kupanda sumu,mweke mbali kabisa na mashine yako,na pia inaonyesha unasafiri sana,hakikisha unalinda afya ya akili,ikikupendeza tafuta side chick...
  8. C

    Hatimae dada mkuu, Lady Jay Dee ni mjamzito

    Nani kakutuma kupost hii mambo,kwanini usiwe na subra na kaba,kwani unapotrza nini mjini hapo kwa kuamua kuwa kimya.
  9. C

    Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Lakini pesa zetu zisharudi tunakula prft
  10. C

    Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Kuna ratiba imetolewa Leo mchana kuweka makundi ya utoaji pesa,ili kuepusha kuchelewesha muamala,nadhani pia unaleta figisu sababu Celia anajibu issue zote on line, sasa imekuja huku kulalamika kwa wasiojulikana ili iweje mkuu.Nenda Whatsapp group A101 na (802) usome details za utoaji cash.
Back
Top Bottom