Recent content by Camcorowamodo

  1. C

    Ameimaliza Tanganyika, Amekamilisha Zanzibar Huru. Mkileta za Kuleta anarudi kwao Zanzibar

    Mhhh, yaani umeandika ukiwa na akili timamu kweli au bas tu nawew uonekane umeandika? BoT, ZRA/TRA zipo Zanzibar kabla huyo anayesema hajakuwa hata Makamo wa Rais!
  2. C

    Rais Samia amepoteza kanda ya ziwa- Gwajima apigilia msumari

    Hiyo namba 2 si kweli!! Labda chadema ila kwa ambao bado akili hazijawaruka, wapenzi wa dhati wa Magufuli hawawezi wakaacha mapenzi kwa Mwendazake wakayahamishia kwa mtu ambaye hakubakisha tusi la kumtukana Magu alipokuwa hai!! Hawajasahau!!!
  3. C

    Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO

    Mpumbavu wew hapo unayeumia kwa Prof Janabi kushinda nafasi ya WHO!!! Una husda na husda mwisho wake ni uchawi!!
  4. C

    Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO

    Kwani zile nyuz zenu za kumuombea asishinde hiyo nafasi mlifikiri zingeleta manufaa au hasara gani? Prof Janabi ameshinda!! Pole kwa maumivu ya kiroho mbaya unayopitia. Jali afya yako zaidi chuki zitakupunguzia umri wa kuishi duniani hapa!!! Pumbav!!!
  5. C

    Hoja ya azimio la Bunge la Ulaya kuhusu kukamatwa na hatari ya kunyongwa kwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema

    Mbona hilo la wasenge hujalisema katika muhtasari wa Kiswahili? Umeficha kitu gani unachokihofia?
  6. C

    CHADEMA inakufa kifo cha Mende - Nilijua tu

    Moto umewaka wapi? Munawachanganya Wafuasi wenu!! Kinusuruni chama chenu. Hayo yanayoshauriwa sio ya kuyapuuza moja kwa moja. Tatizo lipo chadema. Kaeni mutafakari kwa mustakbali wa chama chenu.
  7. C

    Serikali iwe macho sana na Tundu Lissu na watu wake

    Umemjuaje kama Shetani ikiwa na wew si Shetani?!
  8. C

    Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

    Rubbish!!! Watoto wa aina yako mtakuwa wakubwa lini??? Rubbish!!
  9. C

    Balozi za Marekani na uingereza na nyenginezo zinapaswa kulaani mauwaji, utekeaji, na uonevu unaoendelea Tanzania

    Kwani wakati wa Magu hawakuwahi kutoa kauli zao za kulaani? Kuna kilichobadilika?
  10. C

    Hayawi Hayawi Sasa Yamekuwa. Huko Aliko Mwamba Mbowe Anachekaaaa Sanaaa na kufyonya

    Wew inaonekana ni mtoto mdogo bado unayesomea pspa. Uanaharakati umeshawashinda wanaoonekana ni wanaume, leo midomo wameifumbuwa, wanabweka kama kundi la mbwa, kila mmoja anasema lake, huisikii tena ile nrnr, mumebakia kutukana tu na kujiliwaza. Kuna mambo ya kufanyia masihara lakini sio...
  11. C

    Mikutano ya CHADEMA kusimama kuanzia July Hadi uchaguzi uishe.

    Jibu hoja acha kupayuka, usiwe mwehu!! Muda mumekuwa mukiusingizia sanaaaa....tatizo lenu mumechagua mtu ambaye akili zake kazihamisha kutoka kichwani. Sasa amekuwa kama bi kirembwe, kila analokwambieni mnamtii hata kama anakosea. Hana baya, hamuwezi kumshauri mana hashauriki. Mmebakia...
  12. C

    PreGE2025 Ushauri Wangu Kuhusu Kaulimbiu au Msimamo wa "No Reforms, No Election"

    Mkuu Lissu ni mwanaaheria, ni msomi, hakosei, hapingiki bwana!! Always maamuzi, mitazamo na misimamo yake ni sahihi, anayempinga Lissu ni msaliti.
Back
Top Bottom